Wach Wach Lyrics

Yeah, uh, yeah yeah
Wach wach, wach wach
Yeah

Mi ni senior nafaa kuwa na deputy
Pedi wako anajua nina pedgree
Infact unafaa kuwa unasimama niketi
Hii gava itasanya mamatha vibeti

Mwizi atakuibia walenje ukidedi
Mwizi anapunguza jam akidedi
Hizo ndo vitu marapper hawatemi
Kwao ma-career ni pang’ang’a na deni

Hakuna mtu anasema ukweli
Wote wanalipwa mapeni
Nikiwa mavela naona Makaveli
Hii ni msemo hufika People Daily

Umevalia hawa watu for long
Mpaka sai inaboo
Inaboo sa mpaka sa umeanza
Ku long for watu unang’aria

Iko wapi hizo thrown naskia zimekaliwa
Sikuwangi kwa zone nakuwanga kwa caliber
Flani ya form haiezi mature
Najua itakuwa long kabla m-mature

Msinitry mi najijua
Risasi haisimamishwangi na kifua
Kisasi hailipishangwi na ratili
Na kama customer flani anasumbua

Mi najijua!
Nimeconfirm (Nimeconfirm)
Mi najijua (Mi najijua)
Mitaa zimetii tii
Mi nachafua (Mi nachafua)

Zao ziko down (Zao ziko down)
Si tuko tour (Si tuko tour)
Mitaa zimetii tii
Mi nachafua (Mi nachafua)

Sema sa wach wach ndo vile naskia
(Wach wach wach, wach wach)
Wach wach ndo vile nasikia
Wach wach ndo vile nasikia

Sema sa wach wach ndo vile naskia
(Wach wach wach, wach wach)
Wach wach ndo vile nasikia
Wach wach ndo vile nasikia

Okey you see, only what they like you see
Na hii ni advice si matusi
Don’t f*uck up ju ya nganji
Don’t act up like you are so Holy

Judgement yako haikuponyi
Ukiomoka asubuhi uskuwe umesota by jioni
Mi naslaughter microphoni
Go missing hamnioni

Nikinyamaza jua niko promising ka Tigoni
Been polishing skills za mine
Ni astonishing ka millioni
Na inakaa ungekaa mjinga
If you were wishing failure on me

Yeah mauraru hata hatujatuna
Ngata gari yangu inakunywa
Difference na tap najichuma
Guaranteed leo back ina —

Shey, ka mr tuner, ah sina tumour
Plus huna kiuno hadi najiuma
Umetisha and I’m sure you know
We itisha mpaka wajam
Na hii beat ni ya my nigga Sam
Eardrums zako zinakubali
Pia roho yako inakubali
Hii flow ina uhodari flani

Huonangi mtaani
Ndo unaona nani hapo ndo daktari
Dere wa trailer atagwenya Ferrari
Amen, Mi najijua!

Mi najijua!
Nimeconfirm (Nimeconfirm)
Mi najijua (Mi najijua)
Mitaa zimetii tii
Mi nachafua (Mi nachafua)

Zao ziko down (Zao ziko down)
Si tuko tour (Si tuko tour)
Mitaa zimetii tii
Mi nachafua (Mi nachafua)

Sema sa wach wach ndo vile naskia
(Wach wach wach, wach wach)
Wach wach ndo vile nasikia
Wach wach ndo vile nasikia

Sema sa wach wach ndo vile naskia
(Wach wach wach, wach wach)
Wach wach ndo vile nasikia
Wach wach ndo vile nasikia


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists