Hapo Tu Lyrics

Nyashinski,Chris Kaiga-Hapo tu

Hapo tu, hapo tu,(×2)
(Yeah, yeah )×2

Guardians tuko jaba,
Wengine wako meeting!
Zetu ni ma German,
Zenyu pikipiki

Leo tunaenda, Canaan
Beba zigi mingi!
Ka kuna ma murderer,
Beba sipi nyingi

Ni mimi hapo backleft,
Paparazzi ,wanaifanya ngumu kufanya usherati
Nakumbuka kabla ,nifuge manati!
Nilikuwa nawakunywa na ile cologne ya Versace

Siku hizo backseat ,ilikuwa love seat
Smooth ya manual, unafikiria ni automatic
Tint kwa window muhathara ndo hatutaki
Hapa perfection, tunaifanya bila practice

Mbele naona success ,nafunga Hat-trick
Mi ndo the “Chieth” kwa hii choo itisha Harpic!
Tangu tuingie kwa hii ,mchezo si ndo heartbeat
Nairobi City tunairun kama athlete

Dance tu usijali;hatukujudge
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo,
Usijali, hatukujudge
Hapo tu,hapo tu, hapo!

Iseti hapo nikuhandle!
Alafu kam tutoe, lock ka key ya mlango,
Nikuingize ndani ya box, kama ballot
Ju leo siwezi kalikula tu kwa macho

Ambie Beenie Man, nimepata queen wa dancehall
After leo utarudisha, weave salon
After leo nawacha Arimis na ma Valon
Haukai kuitisha vile unakaa kukuwa na passport!

Kitu ka hii ni rare ,ichimbe ndo upate
Mi na Nyash ni kama jet ya private,
Vutia wateja ni ka amewkwa magnet
Ita touch wateja hadi waitane

Dance tu usijali! hatukujudge,
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo,
Usijali, hatukujudge

Dance tu usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo!
Usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo!

Hii game ndo inabisha hii si 9 millimiter
Tint kwa dirisha usinimind nikipita
Geuzeni vichwa injili imefika
Na white tunaficha ni ka tunafilisika

Hii game ndo inabisha hii si 9
Tint kwa dirisha usinimind
Geuzeni vichwa injili imefika
Na white tunaficha ni ka tunafilisika

Dance tu usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu,
Usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu,

Usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo!
Usijali, hatukujudge
Hapo tu, hapo


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists