Nviiri The Storyteller – Nikita Lyrics

Wasichana wasichana wengi
Wanapenda kuniita baby
Sijui nani nitampa penzi
How can one man find it hard to pick one
Oh ouuuh oh nikapata wenye minisketi
Hawajui jinsi ya kuketi
Wakidhani walisha niseti
Am like no no no girl
Tena kuna maslay queens
Zao designer vibeti
Lugha Swahili ni deadly

Alafu kuna Nikita ana digida
Akizitingiza, hapa ndani mta-go crazy
Oh mtago crazy
Alafu kuna Nikita ana digida
Akizitingiza, hapa ndani mta-go crazy
Oh mtago crazy

Kamare (kamare)
Lemme see your body move to magarena
In your way and I’ll be right beside yah
Yes you are my kinda baby oh
Oh ouuh oh nikapata wenye minisketi
Hawajui jinsi ya kuketi
Wakidhani walisha niseti
Am like no no no girl
Tena kuna maslay queens
Zao designer vibeti
Lugha Swahili ni deadly

Alafu kuna Nikita ana digida
Akizitingiza, hapa ndani mta-go crazy
Oh mtago crazy
Alafu kuna Nikita ana digida
Akizitingiza, hapa ndani mta-go crazy
Oh mtago crazy
Alafu kuna Nikita ana digida
Akizitingiza, hapa ndani mta-go crazy
Oh mtago crazy
Alafu kuna Nikita ana digida
Akizitingiza, hapa ndani mta-go crazy
Oh mtago crazy


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published.

Search Artists