Nviiri The Storyteller – Kitenge Lyrics

Ouh ouh ouuuh
Ni kama siyuko ready
Nani alinidanganya eti mapenzi huwa simple
Ni nani alinidanganya penzi hainanga kilio
Nikadanganywa eti maua ndio suluhisho
Na niongeze chocolate, baas! hizi vitu hufanyangwa hivyo
But then I fell in love, mambo ikakuwa complicated
Hii ni hesabu yes feeling in love
Nimeingia mtihani bila mtihani
Am not ready
Pressure mingi mi nadedi
Oh am going crazy eh yeah

Ju sasa ninavalishwa kitenge
Tukifanana penzi ni ya milele
Nyoa rasta mzazi akupende
Hizi vitu kwangu ni crazy
Ju sielewi vile kitenge
Itafanya penzi iwe milele
Na mbona rasta mzazi asipende
Hizi vitu kwangu ni crazy
Am not ready, am not ready
Ni kama siyuko ready
Am not ready, am not ready

Nimerudi square one
One plus one wacha ibaki one
Msinifunze mi nimesha-learn
Napambana na hali yangu kama Saddam
Basi tusiwamind (Oh wale)
Tusiwape sikio (Oh wale)
Later baby we will be fine (Oh wale)
Tusiwaonyeshe kilio (Oh wale)
For those who fall in love
Mambo isikuwe complicated kama hesabu
When you are in love
Usijipate mtihani bila kalamu yeah
If you are not ready
Pressure mingi usidedi
Please don’t go crazy

Ju sasa ninavalishwa kitenge
Tukifanana penzi ni ya milele
Nyoa rasta mzazi akupende
Hizi vitu kwangu ni crazy
Ju sielewi vile kitenge
Itafanya penzi iwe milele
Na mbona rasta mzazi asipende?
Hizi vitu kwangu ni crazy
Am not ready, am not ready
Ni kama siyuko ready
Am not ready, am not ready

Nani alinidanganya eti mapenzi huwa simple
Ni nani alinidanganya penzi hainanga kilio


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists