Bar Lyrics
Nviiri the Story Teller-Bar ft Femi One
Bar Baby twende kwa bar bar
Bar bar bar
Ilogos music yeah
Baby twende kwa bar bar baba yako
Nipeleke kwa bar bar baba yako
Sherehe kwa bar Vinywaji kwa bar
Nipeleke kwa bar bar baba yako
Aisha unahatarisha maisha
Baba yako hunitisha ndio maana napita
Kwa Dirisha
Aisha nimekufuata mpaka kwa kanisa
Misa imeshika ama ni zangu zimeshika
Usiogope kunionesha vile unanipenda imani nimeweka kwako
Ungejua pali nimekuweka mami
Yeah ooooh
Baby twende kwa bar bar baba yako
Nipeleke kwa bar bar baba yako
Sherehe kwa bar Vinywaji kwa bar
Baby twende kwa bar bar baba yako
Nipeleke kwa bar bar baba yako
Misa imeshika ama ni zangu zimeshika
Usiogope kunionesha vile unanipenda imani nimeweka kwako
Ungejua pali nimekuweka mami
Yeah ooooh
Baby twende kwa bar bar baba yako
Nipeleke kwa bar bar baba yako
Sherehe kwa bar Vinywaji kwa bar
Baby twende kwa bar bar baba yako
Nipeleke kwa bar bar baba yako
Nikiwa mdogo ulikua unaningoja kwa bar
Miaka ikasonga na saa umejenga kaa bar
Harusi,Kanisa alafu reception Ni bar
Ambia Baba honey moon tunaenda bar
Usiogope kunionesha vile unanipenda imani nimeweka kwako
Ungejua pali nimekuweka mami
Yeah ooooh
Baby twende kwa bar bar baba yako
Nipeleke kwa bar bar baba yako
Sherehe kwa bar Vinywaji kwa bar
Baby twende kwa bar bar baba yako
Nipeleke kwa bar bar baba yako
No comments yet