Number one Lyrics
Rayvanny xZuchu-Number one
Macho yalikuona,
moyo ukakuchagua
Mdomo ukasema
nakupenda
Mwambie umepona
aliokutesa moyo kusumbua
Maumivu yamekwenda
Mi ni zawadi nilopewa,
Hajui nipepese wapi,
Mi kipofu kwako sioni,
Penzi limetaratadi napepewa,
Harufu ya marashi rashi,
Nikitouch touch shingoni,
Uvae baibui kanga,
Viatu vya kuchuchumia kangaroo,
Kisima tui tanga ,
We huba nifukizia pambe tu
Ukizungushia shanga,
Inashuka inapanda chini juu,
Nishatafuna karanga,
Sasa chumba ndo,
kiwanda watoto tu,
My number one
you are my number one
My number one
you aree my only one
My number one
you’re my number one
My number one
you’re my only one
Lalala, la la la
La- la-la
Hausukumi damu moyo,
Unasukuma upendo wangu,
Niko mahabani Mombasa,
Penzi nalimung’unya kibogoyo
Nimepata size yangu
Yaani nalioga sio kunawa
Nawaa
Firimbi nitapuliza
Kuita ndege waje
Raha zimefululiza
Kwako natokaje
Hadi bububu umepitiliza,
Tuko kwa bibi paje,
Taratibu unaniliza baba,
Tulivuruge varanga
Chimeneza kunengea kwangaru
Nikiandae kitanda
Shuka za maua ua ya marooon
Kisha tugonge na venta,
Mambo ya kujizingua na varu
Nifunge upande kanga
Hapo Juma we kwarua kwa kwaru
Ooh baby you are my
My number one, you’re my number one
My one and only
My number one,you’re my only one
Baby my
My number one you’re my number one
My number one you’re my only one
Penzi limetaratadi napepewa
Harufu ya marashi rashi
Nikitouch touch shingoni
No comments yet