Mambo Mbaya Lyrics
Nonji feat P Mawenge – Mambo Mbaya Lyrics
Yeah Yeah
It’s 2020 baby
Nonji done again
Mawenge For the street yoh uliza
Hekaya zote
Wangapi janar wamelala njaa
Majibu utakayo pewa Utashangaa
Iko kila Siku hivyo iendapo kwa Jah
Kuna watu sabuni hawajui
Nasio kwamba Nguo hawafui
Ukifungua kinywa asubuhi shukuru Mungu
Maana ya Badaee huyajui
Unaweza kujua Ni mapuzi
Tunaposhinda mabanda ya Movie
Hatumudu kulipia Vingamuzi
Bado tunahustle hustle
Bado mambo mbaya
Tunazo Jasho ipo Mambo fire
Pesa Inaleta Mambo haya
Siku nitatafuta mpaka Siku naretire
Hustle hustle bado Mambo mbaya
Tunamwaga Jasho tuko Moto fire
Pesa ndio Inaleta Mambo haya
Nasitutazitafuta mpaka Siku naretire
Wanenu wanasoma International
Basemali wanaziita Besmo
Wanatucharazia chuma yes no
Nyimbo zao Davido Mara Tecno
Wengine ndio mikwala kila day
Kutuzimia Japo hawana Pay
Wengine tupo ndani tunapay
Tumuombe Mungu ili atushushie mambi mazuri
Tumechoka kila Siku maisha ya Kusota
Vitamu ndio tunaishi kuyaota
Maana tunazidi tu kupinda
Hustle hustle bado mambo mbaya
Bado tunamwaga Jasho tuko Moto Mambo fire
Pesa ndio Inaleta Mambo haya na tutaitafuta mpaka turetire
Hustle hustle bado mambo mbaya
Tunamwaga Jasho tuko Moto Mambo fire
Bado tunamwaga Jasho tuko Moto Mambo fire
Pesa ndio Inaleta Mambo haya na tutaitafuta mpaka turetire
Hustle hustle bado mambo mbaya
Tunamwaga Jasho tuko Moto Mambo fire
No comments yet