Nipe Yote Lyrics
Najua pesa sina
Isiwe sababu yako kuninyima
Najua hata na vina
Hata ukanipa beat ndo uniigiza
Eeh unishushe China
Habari yangu nimepata Corona
Sio siri wewe ni wangu
Sio siri wewe ni wangu
Sio siri wewe ni wangu
Kila kukicha hizo post za Insta
TID ka fall kwangu diva
Mtoto anataka Range na Bima
Na mi nasema ni tovuti nampa
Eh eh eti Range na Bima
Eti nadata kwake mwambie yeye
Usinibanie banie
Wewe nipe yote
Usinibanie banie
Wewe nipe yote
Chameleone, call me Derosa
Baby don’t you kill it
I coulda give it but I love it
Baby come and feel it
Mapenzi baby give it to me
Baby eh eh eh
Haiwezi fika siku baby
I let you down (Wagalanyo)
Usimwage penzi letu — pour it down
Usinibanie banie
Wewe nipe yote
Usinibanie banie
Wewe nipe yote
Sio siri we ni wangu
Sio siri we ni wangu
Usinibanie banie
Wewe nipe yote
Usinibanie banie
Wewe nipe yote
No comments yet