Nimetumiwa Pesa Lyrics
Darasa-Umetumwa Pesa
Luck ni kutafuta utakacho
Jealous itafanya mle kwa macho
Naweza kuwa mfano kwa wenzako
Tulovuja damu hatuogopi kuvuja jasho
Broke niggas wanakufa wakiwa na jealous eish’
Mi nalipa bills!
Coz I’m young wise and famous kid!
Ah na tuko swag bitch!
Madem kibao washanizimia data’
Na ndio hao hao, wanaonizimia sasa”
Call them the most confidential rapper
Naingiza M kila” siku na sinenepi ata
Whatsapp bro endorse madeals
Nashinda kwenye!
Bars naandika ndani ya six dope!
Nacop the deal nabonga na mapro
Na nazijua ni deal na naitaka ligi soo nana
Tushapitia mengi na mengi tushaona!
Mpaka bukta za shule wahuni tushashona
Tukikosaga doh utadhani tunahoma
Tuna homa’
Sijaja kuchekesha na kuelewesha
Usinitanie, kwani unanionaje
Nimetumwa pesa
Eeh ee nilipe pesa yangu(×2)
Mtu mwingine maisha yake ni kukaa kaa tu
Mtu chatu mtu half mtu kiatu
Kutwa nzima yuko online Whatsapp
Akitoka kwenye udaku kudaka mambo ya watu
Wakati we umekimbia nyumbani stori
Eti mama hana kuchapu, urudi umalizie mtori
Tangu watoto tunagombania magoli
Na tamthilia zako Alenjandro I’m sorry
Ma MC tungo zinawatunga
Mistari nawafunga jamii inaona pumba
Hivi mjanja ni mtoto wa mjini anayedunda
Ushindwe rembeka Wini alikuja kutoka Ibunga
Let me try to break ,it down for you
And explain things okay my friend
Kama nahitaji change nahitaji kuspend
Nina mahitaji mengi, do you understand
Sijaja kuchekesha na kuelewesha
Usinitanie, kwani unanionaje?
Nimetumwa pesa
Eeh ee nilipe pesa yangu
Sijaja kuchekesha na kuelewesha
Usinitanie, kwani unanionaje?
Nimetumwa pesa
Eeh ee nilipe pesa yangu
No money, no honey
Check our lives so funny
Mambo sio kama zamani
Chemsha bongo kichwani(×2)
No comments yet