Cheza Kama Wewe Lyrics

Mejja,Exray, Nelly the goon ,Trio mio-Cheza Kama Wewe

Nina kakitu kwa mbosho nkutolee form,
Kuja na mavitu vidosho macorazon,
Choche chipo mwitu na posho nimechoma pork,
And then mi nitakuja na
chumvi na nyongi ya juzi

Leo utatoa moshi ka trolley ya msee wa smokie,
Nitacheza kama mimi,
Alafu nikupe through pass cheza kama Lewandowski,
Ivo ndo si hucheza mjini

Chorus
Trio cheza kama wewe,
Cheza kama wewe,
Cheza kama wewe,
We bazu cheza kama wewe

Trio nacheza ,kimimi mdhamini sipini
Na ka unadai moshi utazivuta, kote chimney
Limit ya Fuliza imeongezeka niko machingli
Naeza shika jug na kanuthu niskie tifi,

Nacheza kiroro nacheza ka wing man,
Naeza fika soko nishike ki G bag,
Turirime mragi meditation na ki FiFa
Shuksha kibandaskii chapo ndondo inaeza jipa,

Rada na madenge vuta hizo matenje
Usichomange kamenje huskii niko mawenge,
Unaeza nyonga sana mkono ianze kumea skwembe
Manze kakiivana si napigana tu vijembe

Peleka na mtrrrr,
Peleka na mtaratara,
Usilete hapa machrrr,
Manguna vitu chwara chwara

Mi huteka ma prrrr,
Mamndoko huwanga maprincess,
Magyala ni wapeng,
Hapa kupost wako Pintrest,

Form,
Manze si utuitie sherehe,
Leo tupige kelele ,
Raha unajipa mwenyewe

Si unichome uko na ndom,
Tukiwashe tupepe,
Tukate maji leo tulewe,
We bazu cheza kama wewe,
Mejja chezza kama wewe
Niko Calif nashikisha
Na mamorio tukichoma shisha
Kuna wale hushukisha

Wale madem hujifanyaga madiva
Ka huyu hapa anaringa
Na hizo lips ni ka anapiga binja

Bade na jiste far away,
Wale wamebaki tupige sherehe
Manze kaa rada ukiwa dunda usilewe
Mafisi wako ready msupa anyemelewe

Ukiwa dunda ni ubebane
Ama ubebwe ama ubebewe
Ukiwa dunda ni ucheke
Uchekeshane ama uchekelewe

manze zimeriet
Nakwambia zimeshika
Nakuta nina shash nani ako na rizla
Mi naskia kukiseti tukiskiza masizla

Leo watu ,ni walewe
Bazu niko na pesa mingi
Ule ni msee wa mayai,


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists