Narejea Kwako Lyrics
Narejea kwako, narejea kwako
(Bingwa records)
Narejea narejea, narejea narejea
Narejea kwako
Niambie niambie unanipenda tena
Nionyeshe njia zako nisipotee tena
Magonjwa na janga la nzige
Zimeshafika Kenya
Nipe ishara zako
Nijue unanipenda tena
Ulisema unanena kwa ndoto
Na dua langu utajibu kwa moto
Ni mtihani mtihani
Ju nilikosa amani
Mambo yako yanichemsha bongo
Narejea kwako, tuwe marafiki tena
Narejea kwako, tuwe marafiki tena
Narejea narejea, narejea narejea
Narejea kwako, tuwe marafiki tena
Bless me one time, bless me one time
Bless me one time, bless me one time
Bless me one time, bless me one time
Bless me one time, bless me one time
Nisamehe makosa yangu niliyotenda
Unionyeshe mafumbo ndo kwako niwe chombo
Nifundishe kutenda mambo unayopenda
Kwako niwe manukato uwe wangu niwe wako
Laana za mababu, isikuwe ndo adhabu yangu
Unisamehe, unisamehe
Nionyeshe maajabu, uniweke kwa hesabu yako
Unisamehe, unisamehe
Narejea kwako, tuwe marafiki tena
Narejea kwako, tuwe marafiki tena
Narejea narejea, narejea narejea
Narejea kwako, tuwe marafiki tena
Narejea kwako, nipokee nilivyo baba
Narejea kwako, niwe marafiki na wewe
Narejea narejea, narejea narejea
Oooh ooooh…
Bless me one time, bless me one time
Bless me one time, bless me one time
Bless me one time, bless me one time
Bless me one time, bless me one time
No comments yet