Nandy ft Sho Madjozi – Kunjani Lyrics

Okay okay okay
Wananijua mi ni number one
Control manongazi ndani
Hii flow hamuonekani

Sowonama, kunjani
Haibo aii, kidogo
Asubuhi kachai mhogo
Haibo aii, kidogo
Asubuhi kachai mhogo
Sowonama, kunjani
Haibo aii, kidogo
Sowonama, kunjani
Haibo aii, kidogo
Sowonama, kunjani
Haibo aii, kidogo
Sowonama, kunjani
Haibo aii, kidogo
Hello! Hello! Hujambo
Ndo nimeland hapa or Tambo
Hello! Hujambo
Ndo nimeland hapa or Tambo
Hello! Uko wapi?
Ndo nimefika na madem wangapi
Hello! Ni nani?
Tumekuja kukiwasha na nani

Sho Madjozi pisi kali amedamshi
Tuna fujo tumejaa kwenye gari
Tunakula bata wala hatujali
Alafu hawaamini navochapa Konyagi
Sho Madjozi ni samaki kwa maji
Sho Madjozi ni jogoo halali
Sho Madjozi ye ni ndege anafly
Wao wanasema watanishusha sidhani

Sowonama, kunjani
Haibo aii, kidogo
Sowonama, kunjani
Haibo aii, kidogo

Se fekelela imilenge menga nikomemela lontesente ne
Laba naiki ne laba benz nelaku swente te mate ne ta tirente
Se fekelela imilenge menga nikomemela lontesente ne
Laba naiki ne laba benz nelaku swente te mate ne ta tirente

Chezesha mido, chezesha mido
Chezesha macho, chezesha macho
Chezesha mido, chezesha mido
Chezesha macho, chezesha macho

Sowonama, kunjani
Haibo aii, kidogo
Sowonama, kunjani
Haibo aii, kidogo


Related Lyrics

Added by

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists