Nibakishie Lyrics
Nandy,Alikiba-Nibakishie
Mmmmmh oh oh,,
Yaani nikikutazama,
Naiona dunia, wangu peke yangu tu
Jua linapozama giza likiingia,
Natamani nikuine tu
Ooh baby ,ukisakata rhumba
Sijalewa nayumba,
Caterpillar limebomoa nyumba
Natamani nife, nizikwe nawe
Shida na raha nawe,
Niwe nawe,
Mwenzako nimepatwa na homa,
Umepasua ngoma,
We baba ni noma,
Akili imesita, imegoma
Mwisho wa reli Kigoma,
Oh baby Nibakishie,
Usinipe vyote mie Nibakishie,
Utaniua Nibakishie,
Kwa iyo roho yangu ,Nibakishie
Oh baby Nibakishie
Usinipe vyote mie Nibakishie,
Utaniua Nibakishie,
Kwa iyo roho yangu Nibakishie,
Nishaharibu koki ya mapenzi,
Acha nilowe,
Pacha wangu ni wewe,
Tunamatch sare sare,
Nitazurura kulilinda penzi,
Kwa ndumba na chale,
Tetere nipe mchele,
Mzoga wake mwewe,
Ooh, basi nikabidhi,
Ooh moyo ,
Sitopunja wala kuupima,
Haya nishaka ganzi na kichomi kuchoma
Mwili mzima wa tetema, ooh baby
Baby, umetekenya ngoma,
We mama ni noma ,
Akili imesita imegoma,
Mwisho wa reli Kigoma,
Kigoma,
Oh baby Nibakishie
Usinipe vyote mie Nibakishie
Utaniua Nibakishie
Kwa iyo roho yangu Nibakishie
Oh baby Nibakishie
Usinipe vyote mie Nibakishie
Utaniua Nibakishie
Kwa iyo roho yangu Nibakishie
Ooh baby
na ndio eeh baby
Baby aah ndio baby
Sio Yogo on the beat
Na ndio, na ndio, I see you, I see you
I love you baby
No comments yet