Naenda Kwa Yesu Lyrics
Naenda Kwa Yesu
Ni David Wonder yeah,
Alexis on the beat
Na wenye, masengenyo
Baki naenda na Yesu
Na wenye ,michanganyo
Baki ,naenda na Yesu
Yelele ,yelele yelele
Baki naenda, na Yesu
Yelele ,yelele yelele
Baki ,naenda na Yesu
Oh nimeshaijaribu, pombe
Ikafanya nikonde
Badala nisonge
Mi mfungwa hainiruhusu niende
Nikajaribu, na sigara
Mapafu ikafungana
Nakohoa ,kohoa
Usiku ,mpaka mchana
Na nikamkimbilia ,huyu Yesu
Niliokunywa na wao pombe wanasema sijielewi
Nikamkimbilia ,huyu Yesu
Niliovuta nao sigara wananisema sana
Na wenye ,masengenyo
Baki naenda na Yesu
Na wenye, michanganyo
Baki, naenda na Yesu
Yelele, yelele yelele
Baki naenda na Yesu
Yelele yelele yelele
Baki naenda na Yesu
Watoto wako wakihesabiwa
Hata mimi ndani Ndanii
Nimeonja utamu wako siamini yaani Yaani
Nilipoteza muda mtaani majani Jani
Na sasa ushuhuda mpaka kwa jirani
Na nikamkimbilia huyu Yesu
Niliokunywa na wao pombe wanasema sijielewi
Nikamkimbilia huyu Yesu
Niliovuta nao sigara wananisema sana
Na wenye masengenyo
Baki naenda na Yesu
Na wenye michanganyo
Baki naenda na Yesu
Yelele yelele yelele
Baki naenda na Yesu
Yelele yelele yelele
Baki naenda na Yesu
Na nikamkimbilia huyu Yesu
Niliokunywa na wao pombe wanasema sijielewi
Nikamkimbilia huyu Yesu
Niliovuta nao sigara wananisema sana
Na wenye masengenyo
Baki naenda na Yesu
Na wenye michanganyo
Baki naenda na Yesu
Yelele yelele yelele
Baki naenda na Yesu
Yelele yelele yelele
Baki naenda, na Yesu
No comments yet