Wangu Lyrics
Nadia Mukami-Wangu
Wewe nani
Unanipigia simu kama nani
Eti niachane mume wako nani
Unajua Nadia kweli mi ni nani
We ni nani
Unampigia simu kama nani eeh
Ata utoe vya ndani
Atarudi hapa kwangu tu nyumbani eeh
Anapenda vidogodogo
Mwenzako anavimumunya Munya
Mwanamke unapenda zogo
Tafuta jambo hilo la kufanya Fanya
Oooh ni wangu
Huyu anasema ni wangu
Oooh ni wangu
Kubali yaishe ni wangu
Oooh ni wangu
Huyu anasema ni wangu
Oooh ni wangu
Mwishowe yataisha ni wangu
Hivyo vimessage na kuficha simu
Havinishtui (Uuuiii)
Atachoka nawe
Kwengine aende, yule hakagui (Uuuiii)
Kelele ya chura
Haizui ng’ombe kunywa maji
Kwangu habanduki, kwako hatoboki
Nakwama naye!
Anapenda wife material
Mwenzako anakudanganya (Danganya)
Mwanamke una kasoro
Tafuta jambo hilo la kufanya (Kufanya)
Oooh ni wangu
Huyu anasema ni wangu
Oooh ni wangu
Mwishowe yataisha ni wangu
Oooh ni wangu
Huyu anasema ni wangu
Oooh ni wangu
Kubali yaishe ni wangu
Mi sitakoma, koma, koma, koma
Mi sitakoma koma koma mama ye
Ntakukomoa komoa komoa komoa
Ntakukomoa komoa komoa msichana we
Oooh ni wangu
Huyu anasema ni wangu
Oooh ni wangu
Mwishowe yataisha ni wangu
Oooh ni wangu
Huyu anasema ni wangu
Oooh ni wangu
Kubali yaishe ni wangu
No comments yet