Zungushie Lyrics
Nadia Mukami-Zungushie
Unaipenda wapi sakafu ama juu kwa juu
Nikupe wapi mvunguni ama mtapanda juu
Walahi leo mpaka kilele
Nitampa nani kama si yeye
Nimekuwa na mgonjwa
Njoo kwangu nikupe dawa
Mganga toka Sumbawanga
Natibu mapenzi ndo mimi hapa
Jamani nimzungushie
Nataka nimzungushie
Jamani nimzungushie
Nataka nimzungushie
Yaani mautamu
Yangu vinono anajinoma kwa mahaba
Mwalimu nampaga somo ndani
Mambo si haba
Amenipitisha, kanitikisa
Akinipa mwiba si nahama
Akinitouch na najimaliza
Kanifunga sitoki kwa mahaba
Kwa ubani nimzungushie
Yaani hata nazi mi nimvunjie
Nataka nimzungushie
Bigati the gati de nimzungushie
Jamani nimzungushie
Nataka nimzungushie
Jamani nimzungushie
Nataka nimzungushie
Changanya kama karanga
Huyu ashafanikiwa
Ananifuata kama kuku
Kifaranga nimechanganyikiwa
Yaani kama unipeleke nyumbani
Unipe mapenzi sham sham
Mauno bila mifupa
Chumbani nikimnegua hadi tam tam yeah
Jamani nimzungushie
Nataka nimzungushie
Jamani nimzungushie
Nataka nimzungushie (Nimzungushie)
No comments yet