Nadia Mukami ft Mejja – Legeza Lyrics

Sevens
Oyeye oyeye oyeye

Kuna kaboy kananiitaga babe
Kanatamani kunipelekaga date
Ata jana kalinipigia late
Hakajui yeye sio yangu taste
Amefukuzia ananiitaga toto
Anasema ananiona kama Lotto
Eti nikaribie ataniongeza joto
Huruma namwonea juu itabaki ndoto

Akimwaga pesa nitalegeza
Akitoa ganji nitalegeza
Akimwaga pesa nitalegeza
Lege Lege nitalegeza
Akimwaga pesa nitalegeza
Akitoa ganji nitalegeza
Akimwaga pesa nitalegeza
Lege (Legeza)

Nikitoa pesa eti utalegeza
Nadia Mukami we hukuwa umeniwezaaa
Hebu bend over na ukamate meza
Nadia una haga eii imeweza
Leo ni kutesa ( Vimajor)
We ni black beauty wow napenda
Najua saa zingine me sinaga pesa
Nakwambia nitakopa pia nitawateka
Achana na wababa, wao uhema sana
Kuja Kwa bazeng, nguvu Za Kuku manga
Nakwambia utascream uskike Hadi Namanga
Jua Sina pesa lakini tunaeza banja (Okwonko)

Akimwaga pesa nitalegeza
Akitoa ganji nitalegeza
Akimwaga pesa nitalegeza
Lege Lege nitalegeza
Akimwaga pesa nitalegeza
Akitoa ganji nitalegeza
Akimwaga pesa nitalegeza
Lege (Legeza)

Amefukuzia ananiitaga toto
Anasema ananiona kama Lotto
Eti nikaribie ataniongeza joto
Huruma namwonea juu itabaki ndoto
Nitalegeza Nitalegeza Nitalegeza

Manzi was Kibera Legeza
AmberRay Legeza
Sheryl Onyango Legeza
Lege lege Legeza


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists