Nasimama Lyrics

Nasimama Lyrics by NACHA

Nacha NasimamaKuna Vita ya Dunia ambazo sizijui
Niliskia Vita vya tanganyika
Tutoke huko tuongelee Vita vya Sasa
Matumizi ya ubabe kwenye madaraka
Sio vichana Wala nisiwatukane bure

Ngoma za nacha nasi tuzitenge bure
Moyo mchafu kuoshea sabuni
Kutia bosi wako Ni kaa kutia mchangaoni
Kuninginia kwenye Kamba lakini Kama Vita vya mamba
Maana na Genge maana Ni nadra sanaar
Maaana Ni Vita sugu namkumbuka
Uke uchekwe na kindugu

Nasimama wima nasimama
Nakipima kilelezi
Maana maradhi Ni Vita vya kuogopwa
Ujinga kichwani nimeshaitwa
Kamata Jembe Kamata shoka
Shambani ndio Utajua
Vipige Vita hivyo usipige mkeo

Uridhi wa Viatu isikupige
Utunzwe kuwawashia taa
Vipofu wasione Giza
Nisawa na kususia uchunguzi
Mgwiji kwenye bukdha

Mili mikubwa Ila akili hazijatulia
Alitupa samaki kwenye maji
Chunga msipige maji
Ukimshinda adui usishinde Naye mganga Naye
Ndio suruali sio kapura

Wamedungia na walichimba visima
Kukosea na ukachukia kutukanwa
Kumalizimisha kumptisha paka njia za panya

Nasimama wima nasimama wima
Maana umaskini na maradhi ndio Vita vya kuogopwa
Ujinga kichwani Umeshaota
Kamata Jembe Kamata shoka
Shambani ndio Utajua tu
Kamata panga ukasake pembejeo

Vipige Vita hivyo usipige mkeo
Vuta tongo tongo alafu usivute tenge tenge
Nisawa na Kufosi nikaa kumpaa jina nameless
Wanaona wivu Ila Cha Ajabu hawaoni haya
Uvumilivu na busara pia Ni hekaya
Ukikosea wenyewe mandungu wenyewe pole
Kama Ni ya ndoa na mlioa kwa mliore


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists