Tosheka Lyrics

I took an apple everyday
To keep the doctors away
Ila vile napenda huyu msichana
Ni ugonjwa na ye ndo dawa

Ukisema leo unaondoka
Uendako nitakufuata
Good love is hard to come by these days
Tulia, skia

Watakusema mazuri mabaya mchana
Na usiku watazidi kuchochana
Ukiwaskiza eh mpenzi utakonda
Hivo keti hapa na utosheke nami

Watakusema mazuri na mabaya mchana
Na usiku watazidi kuchochana
Ukiwaskiza eh mpenzi utakonda
Hivo keti hapa na utosheke nami

[Bensoul]
I took a puff everyday
To keep my trouble days away
But nothing gets me high like you
(high like you baby)
I’m walking under your juju

Ukisema leo umechoka
Nitaruka kichwa ukinitoka, yeah
A good girl is hard to come by these days
Tulia, skia

Watakusema mazuri na mabaya mchana
Na usiku watazidi kuchochana
Ukiwaskiza eh mpenzi utakonda
Hivo keti hapa na utosheke nami

Watakusema mazuri na mabaya mchana
Na usiku watazidi kuropokwa
Ukiwaskiza eh mpenzi utakonda
Hivo keti hapa na utosheke nami

Hivo keti hapa na utosheke nami
Hivo keti hapa na utosheke nami


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists