Colabo Lyrics
Mukwenze feat Kasolo Colabo Lyrics
Leo Niko na mikwanzo na tuko na colabo na yeye
Tunataka tuwaletee wimbo Wetu
Nikiimba unaimba Sawa
Ukinilenga nakulenga
Najiskia kulenga
Ukinimissi nakumissi
Imba chenye nakuambia
Hakuna Meno
Ukinilenga nakulenga
Nakukulenga kukulenga
Sote tunalengana
Lenga sote
nitakuchapa
Ukinimissi nakumissi
Nakulenga Missi
Kulenga inatoka wapi
Ukinimissi nakumissi
Uko na mchezo
Nitakuchapa
Nakumissi
Ukinimissi nakumissi
Imba chenye nakuambia
Wacha nikuachie hapo
Uko na tabia Sanar
I love you too
Goodnight bye see you
No comments yet