Sijali Lyrics

Mi sijali waambie mi sijali
Mi sijali, mi sijali
Mi sijali waambie mi sijali
Mi sijali

Usijali gathee usijali
Sir God anakupenda wee usijali
Usijali gathee usijali
Dhambi zote ataosha wee usijali

Oh God afanye nini na mimi
Msee wa dhambi ka mimi
Nifanye niamini
Atanikubali?

Cheki alifufua waliodedi kaburini
Akanikomboa jo cheki mimi
So Mr Seed mi ni msee nina tattoo
Wacha threesome nishakata watatu
Eh sitoagi sadaka nilibuy kiatu
Ata Ssaru alidai nitaburn nyaru

Mi sijali waambie mi sijali
Mi sijali, mi sijali
Mi sijali waambie mi sijali
Mi sijali, mi sijali

Usijali gathee usijali
Sir God anakupenda wee usijali
Usijali gathee usijali
Dhambi zote ataosha wee usijali

Utasikia hata imeandikwa kwa Bible
Yule David alikuwa mbaya Python
Aliwachukua chukua mabibi za Gathee
Lakini bado Mungu naye akamsamehea

Zako ni kidogo ni kidogo
Shida zako ni kidogo ni kidogo
Dhambi zako ni kidogo ni kidogo
Weee ni kidogo ni kidogo

Ati praise to the Lord hizi dhambi anaburn it
Praise to the Lord hypocrite anaburn it
Praise to the God hizi show tuna kill it
Si Kuokoka ndio nita learn it

Mi sijali waambie mi sijali
Mi sijali, mi sijali
Mi sijali waambie mi sijali
Mi sijali

Usijali gathee usijali
Sir God anakupenda wee usijali
Usijali gathee usijali
Dhambi zote ataosha wee usijali

Oh God afanye nini na mimi?
Msee wa dhambi ka mimi
Nifanye niamini
Atanikubali

Zako ni kidogo ni kidogo
Shida zako ni kidogo ni kidogo
Dhambi zako ni kidogo ni kidogo
Weee ni kidogo ni kidogo

Ati praise to the Lord hizi dhambi anaburn it
Praise to the Lord hypocrite anaburn it
Praise to the God hizi show tuna kill it
Si Kuokoka ndio nita learn it

Mi sijali waambie mi sijali
Mi sijali, mi sijali
Mi sijali waambie mi sijali
Mi sijali

Usijali gathee usijali
Sir God anakupenda wee usijali
Usijali gathee usijali
Dhambi zote ataosha wee usijali

Mi sijali waambie mi sijali
Mi sijali, mi sijali
Mi sijali waambie mi sijali
Mi sijali

Usijali gathee usijali
Sir God anakupenda wee usijali
Usijali gathee usijali
Dhambi zote ataosha wee usijali

Zako ni kidogo ni kidogo
Shida zako ni kidogo ni kidogo
Dhambi zako ni kidogo ni kidogo
Weee ni kidogo ni kidogo


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists