Mungu Wa Musa Lyrics
Moji Short Baba -Mungu wa Musa
Baba Kidogo kidogo
Ni shorty Baba
Mungu wa Musa Mungu wa Musa Mungu wa Musa Mungu wa Musa
Gawanya bahari nipite, Gawanya bahari nipite
Gawanya bahari nipite ,Gawanya bahari nipite,
Gawanya bahari nipite
Kidogo kidogo kidogo kidogo kidogo
Umenitoa misiri umenitoa mbali Baba si siri
Lakini Sasa Sasa manoma zimejajaa jajaa
Na majeraha ya Moyo sipati usingizi
Na majeraha ya Moyo sipati usingizi mi nalia
Mungu wa Musa
Gawanya bahari nipite, Gawanya bahari nipite ,Gawanya bahari nipite, Gawanya bahari nipite, Gawanya bahari nipite
What can I do without you
Baba come Through
Baba gawa iwe part a na Part B
Baba Ni wewe Sina plan B
Na majeraha ya Moyo sipati usingizi
Mi nalia
Mungu wa Musa
Mungu wa Musa
Gawanya bahari nipite, Gawanya bahari nipite, Gawanya bahari nipite
Gawanya bahari nipite
Kidogo, kidogo,kidogo,kidogo,kidogo
No comments yet