Mtoto Lyrics
Moji Short Baba-Mtoto
Mtoto mtoto mtoto
Mtoto mtoto mtoto
Nakuamini ka mtoto
Nakufuata ka mtoto
Nakuamini ka mtoto
Nakufuata ka mtoto
Nikikukosa nalia, naumia
Nikikukosa nalia, naumia
Mtoto ni baba yake,
Mtoto ni baba yake ,na wangu najua
Bila we nina nini
Na nitakula nini
Bila we nina nini
Na nitakula nini
Mi naja kwako we ndo Baba, we ndo Baba
Nalia kwako, we ndo Baba, we ndo Baba
Nakwama kwako, we ndo Baba, we ndo Baba
Nalia kwako, we ndo Baba, we ndo Baba
Ulisema watoto wakuje,
Ah na nimekuja Baba
Ulisema watoto wakuje
Ah-ah na nimekuja baba
Nakufuata ka mtoto
Nakuamini ka mtoto
Nakufuata ka mtoto
Nakuamini ka mtoto
Nakufuata ka mtoto
Nakuamini ka mtoto
Nikikukosa nalia,
Nikikukosa nalia
Nitakufuata ka mtoto wa primo
Ndani yako kuna blessings and I know
Umenipa uhai na bado
Vipi tena mi nitakuweka kando
Nitakufuata ka mtoto wa primo
Ndani yako kuna blessings and I know
Umenipa uhai na bado
Vipi tena mi nitakuweka kando
Ulisema watoto wakuje
Ah-ah na nimekuja baba
Ulisema watoto wakuje
Eeh eeh
Nakufuata ka mtoto
Nakuamini ka mtoto
Nakufuata ka mtoto
Nakuamini ka mtoto
Nikikukosa nalia, naumia
Nikikukosa nalia, naumia
Aii nakufuata kwa imani
Nakufuata ka mtoto mtoto
Uniongoze njiani
Uniongoze njiani ka mtoto mtoto
Sitasahau we ni nani
Sitasahau we ni nani ka mtoto mtoto
Na unipe nuru gizani
Unipe nuru gizani ka mtoto
No comments yet