Mo Music

Maumivu

Maumivu Lyrics

Mo Music-Maumivu

Hujawai nihesabia makosa hayo
Daily niko baani natumia
Kwa kweli kila penzi lina historia
Ila la kwangu sitaki kulikumbukia

Daily mi nina mitungi
Mdomoni na mirungi na fegi juu
Na bado mlango sifungi
Hata busara sifungi makofi juu
Kweli ulinivumilia Vumilia aah
Yote nilokufanyia

Nahisi niliwahi kuwa nawe
Nimengojea ujana upite
Hata usingizi haupiti
Siridhiki wewe kuwa na yeye

What goes around comes around
Moyo unauma ila
What goes around comes around
Moyo unatetereka

What goes around comes around
Siwezi tena kusahau
What goes around comes around
Moyo unauma ila

Punguza mapenzi kanipa now
Nikisema kurudi nitakabwa koo
Skia hivi sasa my baby boy
Siwezi tena

Nilikuvisha pete
Ukanivulisha upendo
Napata kiu, sijiwezi
Moyo unauma tayari

Usisahau mpenzi umeniumiza Sawa
Fisi gani asiye chunga fupa Haya
Kidazini umenining’iniza Sawa
Kituoni umenipitiliza Haya

Nahisi niliwahi kuwa nawe
Nimengojea ujana upite
Hata usingizi haupiti
Siridhiki wewe kuwa na yeye

What goes around comes around
Moyo unauma ila
What goes around comes around
Moyo unatetereka

What goes around comes around
Siwezi tena kusahau
What goes around comes around
Moyo unauma ila

Usisahau mpenzi umeniumiza
Fisi gani asiye chunga fupa
Kidazini umenining’iniza
Kituoni umenipitiliza Haya


Related Lyrics

Added by

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists