Mejja – Usiniharibie Mood Lyrics

Ooh please usiniharibie mood
Leo naskia tu fiti
Leo sitaki umtiti
Ooh please usiniharibie mood
Ile umeskia kunihusu
Usiniambie ju pia haikuhusu

Aii aii, I just got paid
I just got laid
Nimereconcile na bae I’m happy
Jana kalikuwa kamenuka
Vitu zake alikuwa amepark
Manze nilikuwa nimeshtuka
Lakini leo bibi amerelax
Amenisamehe juu ya jana
Clande alipiga kama tumelala
Mejja leo tunaenda ulevi?
Leo sitaku kurisk leo nacheza chini ju

Ooh please usiniharibie mood
Leo naskia tu fiti
Leo sitaki umtiti
Ooh please usiniharibie mood
Ile umeskia kunihusu
Usiniambie ju pia haikuhusu

Aii aii umeingia Whatsapp?
Kuna nini Whatsapp? We ingia Whatsapp, wee
Usitume message ya ufala
Leo sitaki kuwa na mood mbaya
Leo naskia tu raha
Message ya ufala itashukishia sana
Kwanza vile leo kumenyc mbaya
Usiniharibie mood
Kwenye nilipeleka mapaper
Wamepiga simu wamesema wanahire, so

Ooh please usiniharibie mood
Leo naskia tu fiti
Leo sitaki umtiti
Ooh please usiniharibie mood
Ile umeskia kunihusu
Usiniambie ju pia haikuhusu
Ooh please usiniharibie mood
Leo naskia tu fiti
Leo sitaki umtiti
Ooh please usiniharibie mood
Ile umeskia kunihusu
Usiniambie ju pia haikuhusu


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists