Sota Lyrics

Reckless-Sota

Ni funny unadhani unachapaa,
Buda kusota, si dhambi acha kukataa
Ni funny unadhani unachapaa,
Buda kusota si dhambi acha kukataa,

Ati we, ni sos ukitaka unabuy,
Uongo sema walai,
Chocha mbona unajam,
Bro umesota na unakataa,

Ati yaani hunanga mali,
We hushinda umehire gari
We hushinda ,nini na nani
Bro umesota na na unakataa
Gari ni ya sugarmummy,
Keja aliomba Mwaniki,
Luku aliomba jirani,
Na kwa baze vile anajidai

Bazu bazu,
Hauna kakitu bazu wa uduu,
IG chocha maisha ya juu,
Caption Lamu with my boo

Lifestyle na madeni,
Ni kuchotwa chotwa na benki,
Wacha kupost ukichocha,
Ati uko Lamu na vile umesota

Ati we ni sos ukitaka unabuy,
Uongo sema walai,
Chocha mbona unajam
Bro umesota na na unakataa

Ati yaani hunanga mali,
We hushinda umehire gari,
We hushinda nini na nani,
Bro umesota na na unakataa

Cheki ati bro, umesota na unakataa
Na ati pia umeokoka, unaendanga church
Unadai una chopa, na hauna hata bike
Mi adi sijui mbona ama uko mangwai

Ama jo ni jaba zimerunda,
Na we husema unaishi Runda
Na we unapatikana daily stage ya Lunga,
Ayayayaya mbona ulichochana umebuy ndae,
Bado uko na deni hadi ya mayai,
Ona mpaka Tala inakudai,
Zidi kujigamba

Ati we ni sos ukitaka unabuy,
Uongo sema walai,
Chocha mbona unajam,
Bro umesota na unakataa

Ati yaani hunanga mali,
We hushinda umehire gari,
We hushinda nini na nani,
Bro umesota na na unakataa

Ni funny unadhani unachapaa
Buda kusota si dhambi acha kukataa
Ni funny unadhani unachapaa,
Buda kusota si dhambi acha kukataa
Ama jo ni jaba zimerunda,
Na we husema unaishi Runda,
Na we unapatikana daily stage ya Lunga,

Ati we ni sos ukitaka unabuy,
Uongo sema walai,
Chocha mbona unajam,
Bro umesota na unakataa

Ati yaani hunanga mali,
We hushinda umehire gari,
We hushinda nini na nani,
Bro umesota na na unakataa


Related Lyrics

Added by

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists