Jipin Anthem Lyrics

Odi Wa Muranga,Mejja,Ssaru-Jipin Anthem

Nataka leo goshodo awike jua nimejipin,
Nataka leo niwajibike,
jua nimejipin,
Nataka leo ububujike
chozi ndo nitii,
Ju hii masaa niko,
fly na chamo kwa genes

I say one, two, three,warazi wajikate
I say four,five,six,niteke walami
Nyege ndo bidii, acha nimpakate
Mi na mbogi yangu nacheki tushajihami

Ni risky kutojipin si ni risky,
Nimejipin na uko vipi,
Tunashikisha na mwadhini,
Ni cham na ni vodoo,
na ni risky na ni whisky,

Ni risky, kutojipin si ni risky,
Nimejipin na uko vipi,
Tunashikisha na mwadhini,
Ni cham na ni vodoo
na ni risky na ni whisky

Ni risky kama sote tuko tipsy
Alafu buda nakucheki unakaa fiti
Nakuja na kiss naeza kuja na ka whiskey
Sa ata ni kwa balcon ni tumalize kwa kiti

Naipenda ati ju iko na choco flavour
Hii ndo inafanyaga hadi msupa analegeza
We ni marinate tu na supu ya mabenda
Staki ata tudate ju uko safe nakupenda

Sa baby umejipin we get freaky
Tuanzie hapa kwa chin take your time hii sio quickie
Nimejaza stock uko na kiss kama fifty
Nataka uperform nipe strokes tu za wiki

Ni risky, kutojipin si ni risky
Nimejipin na uko vipi
Tunashikisha na mwadhini
Ni cham na ni vodoo, na ni risky na ni whisky

Ni risky, kutojipin si ni risky
Nimejipin na uko vipi
Tunashikisha na mwadhini
Ni cham na ni vodoo, na ni risky na ni whisky

Wobble it, , wa, wobble
Ona kina Milly na Wambo Wambo
Tumini tumeshika tako tako
Nataka mmoja nimchape tapo tapo

Ah nakuita manzi hi, natupa tupa swa
Anaanza kuwa mshy fisi naskia raha
Anapenda nyama choma tumbukiza
Nikamwambie maddam eeh skiza
Huwezi kula nyama na nyama ee
Ni taamu sembe na nyama
Mbona mi nikule nyama na nyama?
Ni rubber na nyama
Kula nyama na rubber

Ni risky, kutojipin si ni risky
Nimejipin na uko vipi
Tunashikisha na mwadhini
Ni cham na ni vodoo, na ni risky na ni whisky

Ni risky, kutojipin si ni risky
Nimejipin na uko vipi
Tunashikisha na mwadhini
Ni cham na ni vodoo, na ni risky na ni whisky,


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists