Mediocre Lyrics

Alikiba-Mediocre

Yeaaaaaah
Ooolalah
Como estas

You call me Kibaka
They call me King Kiba
Baba Keyaan, toto la Mama Kiba
Njaa mi nashiba, unaishi kwa kuniiga
And I’m Alright

Ushamba mwiko kwa mtoto wa Kariakoo
Sichezi na dada zangu, nacheza na dada ako
Mixer mkong’oto, We unauza siso
Mi ndio bishooo

Iga na ku-stop uone
Hauchuzziki hata tone
Mi nafanya wimbo, we unafanya skendo
Uonekaneee

Marekani Nishatimba
Ulaya yote nishatamba
Tena Unatukana, unakuja unajigamba
Unajiona mjanja unatamba sana
Mediocre …..yeaaaah

Mediocre, speed ya mediocre
Mediocre yeaaaah
Mediocre Mediocre Mediocre
Mediocre Mediocre Mediocre

Yeaaaaah yeeeiyeee
Pluu mpaka chini- PIGO
Unataka U-King na Mafundo
Mimi ndio BABA… King-dom…. Kingdom yeah
Tena mnajishow, huyu Komandoo
Stage mafundo, wachafu wa roho, waongeza zero
Kwashungu NO, kwashungu NO, no no
My people… No no, como estas
Yo I have been in the game for 18 years
I’m still around, still ON TOP
Gyaldem Sugar

Marekani Nishatimba
Ulaya yote nishatamba
Tena Unatukana, unakuja unajigamba
Unajiona mjanja unatamba sana
Mediocre …..yeaaaah

Mediocre, speed ya mediocre
Mediocre yeaaaah
Mediocre Mediocre Mediocre
Mediocre Mediocre Mediocre


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists