Cheki Lyrics
Mr Seed-Cheki
Cheki cheki, oh nah
Amenigusa amenigusa roho
Cheki cheki, oh nah
Mungu wangu ndo bazu
Cheki oh nah
Amenigusa amenigusa roho
Cheki cheki
Mungu wangu ndo bazu
Sina more ya kusema
Upendo wake kwangu hakika
Nikiwa low anibeba
Kama ndege anininginiza
Yesu alisema mambo yako fine,
Alimaliza msalabani,
Waniona juu ,napaa angani
Kila wakati yuko nami
Cheki mi siendi ,club mi siendi bukla
Maishani Mungu ndiye buda
Mi sivuti shash ,sivuti mashisha
Msalabani yote yalikwisha aaah
Cheki oh nah,
Amenigusa amenigusa roho
Cheki,
Mungu wangu ndo bazu
Cheki oh nah
Amenigusa amenigusa roho
Cheki,oh nah nah nah
Mungu wangu ndo bazu
Nasema God amecome through
Eh amekam through
Nasema God amecome through
Eh amekam through
Amecontroll,
Ameturn my life around now you know
Ata nikiwa low, ata nikiwa low
Niko na furaha bado ananitambua
I say mimi wake, mwana wake
Alinipenda toka enzi zile
Mimi wake, mwana wake
Alinipenda toka enzi zile
Cheki cheki, oh nah
Amenigusa amenigusa roho
Cheki cheki, oh nah nah nah
Mungu wangu ndo bazu
Cheki cheki, oh
Amenigusa amenigusa roho
Cheki cheki, oh nah nah nah
Mungu wangu ndo bazu
Amecontroll, amecontroll
Ameturn my life around now you know
Ata nikiwa low, ata nikiwa low
Niko na furaha bado ananitambua
Amecontroll, amecontroll
Ameturn my life around now you know
Ata nikiwa low, ata nikiwa low
Niko na furaha bado ananitambua
Cheki cheki, oh nah
Amenigusa amenigusa roho
Cheki cheki, oh nah nah nah
Mungu wangu ndo bazu
Cheki cheki, oh nah
Amenigusa amenigusa roho
Cheki cheki, oh nah nah nah
Mungu wangu ndo bazu
No comments yet