Wamocho Lyrics

Mbogi Genje -Wamocho

Genje streets si mnajua ni kuwamocho;
Ni kirao naraukia kuwamocho,
Wamocho riang ni kuwamocho!
Wamocho riang ni kuwamocho,

Niko gwethe niko zanabe! kana kana shi
Nimepandisia mbanati! ju ni nganyare
Kuna vile nimekanafi nimebana shi!
Mboto ni mbena sumbe na fe ju niko na ki ,

Sa ubaya nikinjanamo ati renangwa,
Makang’ethe nawanjanasu! ju niko masii
Malego na mnganazii Sosi na Mercy
Nawateki hadi wanatiii,

Zikiwamocho kang’a mpaka wanjivo,
Mbogi yake ni kupatch kama wagido,
Zikiwamocho, kang’a mpaka wanjivo
Mbogi yake ni kupatch kama wagido

Genje streets ,si mnajua ni kuwamocho
Ni kirao naraukia kuwamocho,
Wamocho riang ni kuwamocho,
Wamocho riang ni kuwamocho,

Niko masongi we tegea nijimess,
Na kunywaku mi hurieng kujibless!
Leo ngware mi nastaga na aref!
Ka ibada watazama ziki arrest,

Kwa marealer mi nitazirelease,
Ju huwaga ,musema mayut walibreeze
Uwe roast like chaji kismart,
Nikirun re nakuwaga shida ,
Za punya mi husakaga,
Toa chok ukizidigi kabisa,
Dirty me siwezi float mi hu-go deeper

Genje streets si mnajua ni kuwamocho
Ni kirao naraukia kuwamocho,
Wamocho riang ni kuwamocho!
Wamocho riang ni kuwamocho,

Genje streets si mnajua ni kuwamocho
Ni kirao naraukia kuwamocho
Wamocho riang ni kuwamocho
Wamocho riang ni kuwamocho

Mbuku jo nimekula mbuku jo
System jo imeninyima kazi jo
Degree yangu ni urembo jo
Mbogi jo inataka dishi jo

Inabidi tuwateke wamocho
Tupate za machwara wamocho
Utanipata zabe ka na shee
Kuja na maini si mabati

Nikichora vile nitateka tu wathii
Niite mkulima na mimea
Mkurugenzi wa kujipulizia
Kuwamocho ndio riba

Genje streets si mnajua ni kuwamocho
Ni kirao naraukia kuwamocho


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists