Medi Lyrics
Mbogi Genje-Medi
Wolla vibe ni kumedi medi
Riang zetu ni kuseti
Wolla vibe ni kumedi medi
Riang zetu ni kuseti
Ka umejama hebu kam nikuburn
Niko na stoko we ikiwaka we ikiwaka haiezi lan
Wenye riang na tumeenda sumashang
Seti uzgan ni hasho itakam
Faya burn na repay ya kukumash
Ju verse mi natuma dedication
Kwa wale wote wanaturank to the top
We jiwanges ka wallet to the ground
Makali na barley jua ziko kwa riang
Kama kingkong tuna conquer
Ni kutwara bila fullstop
Watapatch hata bila fullstop
Mi ni mgenje wa kuwapanga
Na kuwapasaha kama tu kiranja
Na natoa rada ya kuwawasha
Diss ni ngeso kunywa kimbeko
Wakichain ma odi mi nachain ma uzz
Mbogi yako rezi mi nachill na Guzz
Utaria udihe ukibanja upuz
Vako zako kutu hatunauwo ikus
Kwa shedi mi hupatch na mambogi
Leta waganis utachaiwa hadi mokish
Underation ndio kitu sijatiii
Na ma-mention ndio kitu wanapree
Maviding tukizidi na masling
Rada chafu ndio riang wanabring
Tukisnadi warazi ni kubreeze
Tukisnadi ma eyegyne wanatii
Wolla vibe ni kumedi medi
Riang zetu ni kuseti
Wolla vibe ni kumedi medi
Riang zetu ni kuseti
Marwab rwab boss ngenje ni kujiseti
Njiste kwa mayut ni ka rima
Shwangsti fi di os kuwakweng den
Wollipa tings kujirieng kuadisia
Ni shari kwa mongrel lima hus
Livity ni kupree vitu genje
Mawatii kila warcho za kizing
Kuwatiki walabiz tukimedi
Chino ching ching tuko nditni
Inna dis yah life riang ni kuhumble
Ghetto adi realest chargi
Afrim MG kuwamash up
Shashola zinamuok ni magundu
Whollavibe na mayouth tuko zabe
Babillien sijainauwo riang zao
Babillien sijainauwo riang zao
Kam slow ndakuteki teki
Hatugwai si mavedi
Tukinena iko heavy heavy
Utadhani si ni navy
No comments yet