Kiongos Lyrics
Mbogi Genje-Kiongos
Swali moja ni ati leo kanashikia wapi!
Mali safi baby leo unabebwa na nani!
Venye umebeba si unajua niko inadi
Nikiwa maji huwa sichagui rangi’
Leo tuko na watoto’
Nisikuone ukidance solo;
Mkulima lima poko;
Hii baridi ya Nairobi inataka toto
So we do it like this!
Hao manguna, hao manguna
Wote wote get down!
Kwenye club kiongos’
Nimesema pewa chupa”
Pewa chuma get down!
Kamata pitisha gode! imechachisha
Kama ngoko amedai !chuma ndani lalisha
Tingisha kinyama, tingisha kinyama
Kama umebarikiwa tingisha kinyama
Kama kawa nimewolan na wazing ting!
Na mirista zinaflow kimissisipi’
Nikisnadi wanajua si kutifin’
Niko idhaa ya kutisa mangwariti
Tunaboss easy ju ni in ting!
Inadisia time dis man ndo kingpin
Usitake jua riambes wapinkre
Nikuvybe na mapachu na machingri
Ju ya stuff wameyaku wamesoak
This time genje inwanywaku za kijoke
Bomper bwakala whine ia mdagala
Kabariang undercover kujichapa ndakala
So we do it like this!
Hao manguna, hao manguna
Wote wote get down’
Kwenye club kiongos”
Nimesema pewa chupa!
Pewa chuma get down”
Kamata pitisha gode! imechachisha
Kama ngoko amedai chuma ndani lalisha
Tingisha kinyama, tingisha kinyama
Kama umebarikiwa tingisha kinyama
Niko jug lakini njoti ulete!
Ka ni ndae mi husoma na flet
Nina kalenda kwangu kama unataka date
Leo hadi paka ya mkamba iko wet
Kondiko kwenye wallet!
Leo kuwateka iko kwenye budget
Nitalipa na MPESA ‘wacha watu wakate
Leta Tusker na Gin! hapa tukupate
Vodka kwa mdomo hauwezi skia achuu
Yako inatingika hata ukisimama statue
Niko kutu tunaweza anzia kwenye loo
Tukamalizie keja juu ya curfew prrr
So we do it like this
Hao manguna, hao manguna
Wote wote get down
Kwenye club kiongos
Nimesema pewa chupa
Pewa chuma get down
Kamata pitisha gode imechachisha
Kama ngoko amedai chuma ndani lalisha
Tingisha kinyama, tingisha kinyama
Kama umebarikiwa tingisha kinyam
No comments yet