Warena Lyrics

Mbogi Genje X Khaligraph Jones – Warena Lyrics

Warena Mbogi Genje X Khaligraph Jones

Hey yo! Chino you again?

Man a guz giz setoka niko rada
Bling ni ya kilo na si ati nyama
Mdaila bado ni mayut wanakaba
Hizi rima  jina biggy watataja

MG zing jina ndio bwaku
Ukilaku mavushying nakulaku
Ukikatiwa Kombato na madunya
Ukile linky niko rima inadi deep sea

Niko chupri na kwa mbosho nina nichuns
Odi man siwezi tii we ni tinge
Tukizidi ni Courtiko nikutinge
Rampage nakuzidi kuwadalo

Hata mao nadeliver to the depo
Na mashang’ kuzinyafu kunyambisha
Ukikam na underation kumbwagishwa
Nina mbegega nalipua nililishe
Mwaga mbuku ni lazima niwafinye

Si ndo kusema, shang’ inatema
Kila kitu si hudu ni warena
Utaliet ukikanashi warena
Utaliet ukikanashi wa’

Yoh! Si ndo kusema, shang’ inatema
Kila kitu si hudu ni warena
Utaliet ukikanashi warena
Utaliet ukikanashi wa’

Kaa riang’ ni siaka mi nitakubrush
Siwezi gwai sawalosh hadi mkuje mtu das
Nimenjaku vodo mbwegze wamenjaku vodo jas
Wanabuya kakinuka wanainzagi za paks

Digi dwanzi huwezi kujijaza gas
Na vile kindie kuna shang’ nimestash
Ukidigi vodo bwegz umezee ni magwaash
Wanafurisha magwado songi wakinywa kuhave

Utabaki ni kirao na kiChrome
Huko rima nyonyo wako amepitiwa za kichuom
Huna riang’ umeidra man ni ka huko zone
Juu ya gwethe zabe nakupata ukiuza bomb

Wanatupimia za ki VAR
Na walitubeba ndogo tukiwanga char
Mi hutambua mirealest akina Michar
Na kifaa nilichambua zanabe ya kiwar

Riambez wako idhaa inengi ni shuksha
Kumswipe tukimonchokanga bukla
Kabla nimchape lazima kondiekcha
Portmore namezea kila ndiecha

Mtadoz mbogi


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists