Full Degree Lyrics
Mbogi Genje -Full Degree
Zimenyanya nimepandisia sigla,
Looku diriba ,nimepiga madicla
Mbegetha nimegwaria ,ni ka kibla
Topshotta kuwawacha, kwa madibla
Muok dogo ju kwa chuom ni wazing
Tumeriau ma Db, tuko yolo na mating
Tuko full degree utakula makidi
Itabaki umetii gethaa inengini trr
Muok dogo ju kwa chuom ni wazing
Tumeriau ma Db, tuko yolo na mating
Tuko full degree utakula makidi
Itabaki umetii ukijaribu Mg,
Tunazidi zidi hard,
Street imekuwa dimanga za kiJihad,
Tuko yard Mg, tupate tukiziburn,
Vitu tumesunda kwa kinena ni mashang’
Time ya bako field, maga imemuokre
Diss Mg huwezi digi shokde,
Na marima tulibakisha mashoste,
Tumedunga ma origi nyi mamboste
MG kila zing, ana gadget
Topshotta ju ,sijai miss target
Leta ufala tutakusunda, kwa gundu
Mbuku rieba mazishi bungu
Wakibanja za, ufala, wataganda,
Nawatrace na kivitu, nawashanda
Nawaachia mbaru, ulimwi na maganda
Nanyambisha za kupatch nikikacha
Muok dogo ju ,kwa chuom ni wazing
Tumeriau ma DB tuko yolo na mating
Tuko full degree utakula makidi
Itabaki umetii gethaa inengini trrrr
Muok dogo ju, kwa chuom ni, wazing
Tumeriau ma DB tuko yolo na mating
Tuko full degree utakula makidi
Itabaki umetii ukijaribu MG
Holy fruit nishariau, ubado peace
Ka ni badting ya weri siwezi messing
Ni ile day wanajikuna maushuru
Snady tii maithaa ni ya nduru
Ni mabazinga wa, wale wapyeng’a
Si ndo makweng’a, na tunawatepa
Wenye presha kuwaacha na imani tu
Shell shack, shell shack tukizama tu
Mboka yangu, we vie tu mdiu
Siaka mbaya ni ,ka kunapigwa riu
Hii design tunakam na hii slang,
Tulijam tukaze kufika shang,
Muok dogo ju kwa chuom ni wazing,
Tumeriau ma Db, tuko yolo na mating,
Tuko full degree utakula makidi,
Itabaki umetii gethaa inengini trr,
Muok dogo ju, kwa chuom ni wazing
Tumeriau ma Db ,tuko yolo na mating
Tuko full degree ,utakula makidi
Itabaki umetii ukijaribu Mg
MG down juu ni mbatco
Militan, nawastrike ki Afgan
Saruku ma informer kuwanasho
Rima siwezi boss bila tora,
No comments yet