Mbao Mbao Lyrics
Mbogi Genje-Mbao Mbao
Kuna vile kameiva nacheza mbao
Michezo ya sativa
kwa pori ni mathao,
Ninateka tu my diva
na venye kamembao,
Nimetoka kumi tisa naruka,
Kumi tisa naruka mbao ,
Nimetoka kumi tisa naruka mbao ,
Kumi tisa naruka mbao ,
Nimetoka kumi tisa naruka mbao,
Nipe mbulu nimteke tu kejani,
Ameninoki sema koki kunijaza kwa tight,
Kama rules za Michuki bila chuki cheki, mwanya,
Nikikuona roho haigongi,
Cheki chura cheki chura wa maji chafu ananidai,
Natembea na magoti zimeripoti,
Nikishika koti, nikishika koti,
Nipe pesa we itisha natisha vijana nimekafunga ,
Kumethoka kila mtu mbili mbili nimejam
Pahali niko labda duri jo itoe njoti,
Namezaga shimo zote nayo,
Cheki biz ikifasho, ikidunga mi nakata tenje
Utapata niko skwodi orosho na mbogi genje
Nachantigi makoro tukidunga mamwere,
Skia venye inatema ikijiba buda inachuna,
Naskianga nibanjuke stingo za kukuna kuna
Ndio maana mi ni pin,
Kuna vile kameiva nacheza mbao mbao,
Michezo ya sativa kwa pori ni mathao,
Ninateka tu my diva na venye kamembao,
Nimetoka kumi tisa naruka mbao mbao
Kumi tisa naruka, mbao mbao
Nimetoka kumi ,tisa naruka mbao mbao
Kumi tisa naruka mbao mbao
Nimetoka kumi tisa naruka mbao mbao
Side moja side ingine ziwake mbili mbili,
Size ni kislim kikolo skizia mawili,
Mbao mbao adisia ziwake kwa wingi,
Nilichujwa Nacada,ju ya kuseti warididi
Nyaru kuroll kuwafungia kwa zigi,
Mi hukuwanga ngirimba tangu shule ya msingi,
Makuro Koinange tao wote kuwadigi,
Downtown uptown hadi area jiji,
Kutake over wajue si ndo shatta,
Siwezi kuita ras jo bila nati,
Seti kola request ya kishada,
Man I go hard hadi mtagwaya,
Cash money look fisa na makwanda,
Come slow frai dai tumenyanya,
Napiga njuga niwashike za kinai,
Ndo kakiliet wamezee huyu Guzu
Kuna vile kameiva ,nacheza mbao mbao
Michezo ya sativa ,kwa pori ni mathao
Ninateka tu my ,diva na venye kamembao
Nimetoka kumi tisa naruka mbao mbao
Kumi tisa naruka ,mbao mbao
Nimetoka kumi, tisa naruka mbao mbao
No comments yet