KAN Dance Lyrics
Kan dance, Kan dance
Kan dance, Kan dance
Mpaka chini
Kan dance, Kan dance
Kan dance, Kan Dance
Mpaka chini
Kanga bila mtandio
Kata fanya marudio
Shika bodi kwenye matukio
Kata mpaka aseme ndio
Kan dance eeh ayayaya
Shake shake move your body yoyoyo yoyoyo
You want to dance find somebody o yoyoyo yoyoyo
Bandika bandua bandani
Cheza kama unaliza sambua bandani
Yani kama Unapiga kasia like that
Ruka juu wamezuka kamua paraghati ni kasanga
Kanga bila mtandio
Bila mtandio ee
Timuli kachekecha chujio
Kachekecha chujio
Kan dance, Kan dance
Kan dance, Kan dance
Mpaka chini
Kan dance, Kan dance
Kan dance, Kan Dance
Mpaka chini
Eeeh aaah… Eeeh aaah… Eeeh aaah
Baby show me can you really run my race
Ee run my race
Come to the party dance celebrate
Eeh dance celebrate
Hatari haunoge speed yako ka nyeti
Unyambe sairogi mguu chaga mguu neti
Shake shake move your body yoyoyo yoyoyo
You want to dance you find somebody o yoyoyo yoyoyo
Kanga bila mtandio
Bila mtandio ee
Timuli kachekecha chujio
Kachekecha chujio
Kan dance, Kan dance
Kan dance, Kan dance
Mpaka chini
Kan dance, Kan dance
Kan dance, Kan Dance
Mpaka chini
Eeeh aaah… Eeeh aaah… Eeeh aaah
Eeh aah
Kuino teketekeke
Sasa waonyeshe onyeshe
Weka makeke makeke
I wanna dance with me
Kan dance, Kan dance, Kan dance
Can you dance
Oooh yeaaah
Eeeh aaah… Eeeh aaah… Eeeh aaah
No comments yet