Matata ft. Bensoul

Matata ft Bensoul – Matatu

Matata ft Bensoul – Matatu Lyrics

Tao mbao mbao
Tao mbao mbao
Tao mbao mbao
Tao mbao mbao (oya)
Beba hao hao
Beba hao hao
Beba hao hao
Beba hao hao

Nikiwa juu ya matatu mi ufeel vibes true
Riding through the city me and you (ooh)
Baeby mi and you
Nikiwa juu ya matatu mi ufeel vibes true
Riding through the city me and you (ooh)
Baeby mi and you

Kamagera tuko area point a a
Na moshogi ndio zetu ati ehh ehh
Makaro wanasema tuko reckless
Juu nganya imejaza vi excess
Pitia jeri okota ma odinare (odinare)
Pale umo okota wakadinali (wakadinali)
Octombitho ukifika namba nane
Hio area kaa ritho juu ni usiku wa manane

Vroom vroom na pull up kwenye matatu
Zoom zoom pale mbele okota wale watatu
Mhhmm kuna mtu ananukisha kiatu
Oya pale nyuma tupendane oya create room room
Niko umo umoinner
Mat za zima zina jina
Paradiso ndio ma winner
Embassava naenda dinner
Manyanga manyanga
Nganya ni manyanga
Kaa hauna fare buda kanyaga kanyaga

Nikiwa juu ya matatu mi ufeel vibes true
Riding through the city me and you (ooh)
Baeby me and you
Nikiwa juu ya matatu mi hu feel vibes true
Riding through the city me and you (ooh)
Baby me and You

Tao mbao mbao
Tao mbao mbao
Tao mbao mbao
Tao mbao mbao (oya)
Beba hao hao
Beba hao hao
Beba hao hao
Beba hao hao

Utapanda KBA ama KBC
Staki kuenda route ya OTC, Ah ah
Twende home upande Kdd
Ukalie KICC ukikunywa KCC
Niko squodi mami hapa najilea
Nikulipie mahari ama fare
Nikupatie maua au mimea
We ni miracle na mi ni pastor deya

Tulipandianga kenkom
Gari za kuenda majengo (uhh)
Tulikuanga ma levels
Tuki toka dunda mimi na warembo (Eehh)
Before tufike hao konda alidai
Fare ni mbao mbao
Nililipa thao na nikasahau
Juu pengtin alikua amenishika ka karao

Nikiwa juu ya matatu mi hu feel vibes true
Riding in the city me and you
Baeby mi and you
Nikiwa juu ya matatu mi hu feel vibes true
Riding in the city me and you
Baeby mi and you

Tao mbao mbao
Tao mbao mbao
Tao mbao mbao
Tao mbao mbao (oya)
Beba hao hao
Beba hao hao
Beba hao hao
Beba hao hao


Related Lyrics

Added by

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists