Burudani Lyrics
Masauti-Burudani
Mapepo ya mziki yamevamia
Cheza mos mos usije ukaumia
Watoto wakali kina Carolina
Halima walivojiachia
Leo tunapiga show ooh ooh
Yaani mpaka kokoriko
Pale mkiwika Kenyan Boy
Nafeel love bado iko
Leo tunapiga show ooh ooh
Yaani mpaka kokoriko
Pale mkiwika Kenyan Boy
Nafeel love bado iko
Na sijidai upendo mi nasambaza
Wote wa mine wakakaz na wadada
Si wanafurahi ngoma zangu zinawabamba
Eeh zinavyochuna kwa speaker
Acha niwape Burudani Burudani
Mi niwapa Burudani Burudani
Acha niwape Burudani Burudani
Mi niwapa Burudani Burudani
Leo Mi nawapa Burudani
Forget all negativity feel the vibe
Na ukatike Ah eeeh
Ukiwa tungi juu ya Mjani
Feel the vibe, Jiachilie
Sa tuende wote
One Love, One heart
Let’s get together and feel alright
One love, One Heart
let’s get together and feel alright
Na sijidai upendo mi nasambaza
Wote wa mine wakakaz na wadada
Si wanafurahi ngoma zangu zinawabamba
Eeh zinavyochuna kwa speaker
Acha niwape Burudani Burudani (Leo)
Mi niwapa Burudani Burudani (Mi nawapa Burudani)
Acha niwape Burudani Burudani (Leo)
Mi niwapa Burudani Burudani (Mi nawapa Burudani)
Acha niwape Burudani Burudani (Leo)
Mi niwapa Burudani Burudani (Mi nawapa Burudani)
Acha niwape Burudani Burudani (Leo)
Mi niwapa Burudani Burudani (Mi nawapa Burudani)
Burudani Burudani (Leo)
Acha niwape Burudani Burudani (Mi nawapa burudani)
Burudani Burudani (Leo)
Acha niwape Burudani Burudani (Mi nawapa burudani
No comments yet