Mabantu ft Marioo – Leo Lyrics

Leo oooooooh Mungu Ameniona, ameniona
Leo oooooooh Mungu Ameniona ameniona

Jaza jaba gonga glasi leo mambo yote mneso (Amina)
Mungu amekata minyororo yote ya mateso (Amina)
Mvua Jua vilitupita na hatukua na leso (amina)
Ila tuliishi kwa imani tukiamini kesho (Amina)

Ukiona yanazidi sana majaribu
Basi kusucceed ku karibu
Nilidondoka nikainuka tena nikajaribu
Nikasema ipo siku Mungu atanijibu

Leo ooooooh Mungu Ameniona, ameniona
Leo ooooooh Mungu Ameniona ameniona

Ah nilikuwa single ila leo niko na baby (Amina)
Nishalizwaga mpaka chozi nikajaza debe (Amina)
Tena nabembelezwa nadekezwa dede (Amina)
Hatimaye leo tumewakata ngebe (Amina)
Wakileta leta mapepo (fire)
Wakitaka tuachane (fire)
Vineno neno vya chuki (fire)
Tukiachana mtuite mbwa tumekaa pale

Leo oooooooh Mungu Ameniona, ameniona
Leo oooooooh Mungu Ameniona ameniona

Leo natumia coz jana nilisettle (Amina)
Ile kupanda kushuka leo nami nina ghetto (Amina)
Dharau masimango tulishinda mateso (Amina)
Tuishi kwa imani na tuamini kesho ( Amina)
God when say nobody can say no nobody can say no
Mungu akisema inawezekana amna wakupinga wakupinga

Leo oooooooh Mungu Ameniona, ameniona
Leo oooooooh Mungu Ameniona ameniona


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists