Sicheki Lyrics
Mandy -Sicheki
Yeah mi Sicheki
Ni Kubaya
Mmmmhh
mimi Sicheki round hii waambie
Mimi Sicheki dago westy zosa ady ndani westy
Gucci fenty Manicure mi hufanya imenti
Kaa mi mechi we play rough hakuna Friendly
Mi Sicheki round hii waambie mi Sicheki
Dago Westy zosa ady ndani Westy
Gucci fenty Manicure mi hufanya imenti
Kaa Ni mechi we play rough hakuna Friendly
Mi Sicheki ambia promoter mi nadai masenti
Mboka iko fity mi siteti
Kabaya mdeadly kwa waambie mi mbaya jetly
Ama tyson nadai
Daily dm Ni manigga wamembao
Wanadai kunidate wafao
Mi Ni hitmaker niite wa fao
We ni hater hii si Mbogi hii Ni mob
Kaa Ni wap we leta mop
Mokoro Anadai hii Raha imezidi
Home amedai atanipea mkidi
Na Mtoto si daddy nimguze Mamini
mimi Sicheki round hii waambie
Mimi Sicheki dago westy zosa ady ndani westy
Gucci fenty Manicure mi hufanya imenti
Kaa mi mechi we play rough hakuna Friendly
Mi Sicheki round hii waambie mi Sicheki
Usituite bash kaa mnajua caretaker Ni Mtiaji
Wake up breko Ni chrome na Konyagi
East african lunch so nalipua rangi
Don’t call me mteja hapatikani
Mi Sicheki round hii waambie mi Sicheki Dago westy zosa ady ndani westy
Gucci fenty Manicure mi hufanya imenti kaa Ni mechi we play it rough hakuna Friendly
No comments yet