Pon It Lyrics

Haaaha ay wagwan. Kabaya Taniua Cods. Bazenga

Follow the leader
Hii ni mali safi umeshika
Pale zabe nawamaliza ga
Nikipita wanashangaa na hii haga

Hey sidung pon it lemmi whine pon it
Bendover kiasi mkono kwa slit
Eey sidung pon it lemmi whine up pon it
Ka hufuki bei huwezi toka na receipt

Tupa lugha kwa DM ni za ovyo
Ukinicheki IG jua ni kionjo
Ma mboto safi safi maselfie za Oppo
Manzi ka mi huwezi pata eey

When you see me gully creep
Would you back up slowly, mmh mmh
When me stand up pon de chair
Sidung pon it

Ni kitu clean kitu clean
Skid on pon it
Mi bado physically fit
Bruk off pon it

Nganja farmer najaza nitaituruba
Jaba kashata nashusha ka ni dumba
Cheza sakata ju gengetone ni rhumba
Ka  nimezaliwa ghetto
Hakuna mboka mi nitafanya ka renjo
Heri unipige fare hakuna day nitabeba walenjo
Heri mbaka che orosho binja ka renjo
Heri ma brandy nimewachana na ma Barley

Aleikum Salam niko kando ya Kareem
Na viding niko dungi niko ding
Na ni jing leta jing sitaki whiskey nita sing
Sitaki team Ching Chong niko Chungli
Mi ni Jetli, Honda Isuzu unadhani Bently

Wah wah wah wah wah
Ametekwa akafirwa na kidole gumba, wah
Baadae ananing’ora ana mimba
Naseti mashashola ka ni dimba, wah

When you see me gully creep
Would you back up slowly, mmh mmh
When me stand up pon de chair
Sidung pon it

Ni kitu clean kitu clean
Skid on pon it
Mi bado physically fit
Bruk off pon it

Prrr check, Cods yeah

Mbogi genje kuja na matenje
Design ya ‘siwacheni’ kwa bash nakula menje
Anadai anione ficha ikus bila ka mesen
Instead ya kutoka miti nipigwe miti nikiwa maveve

Deng’a ni mrenga huwezi mada mi nachenga
Chali anahema na bado anadai kutesa
Niko na pistol ndani ya skirt unadhani mi nacheza
Design ya rogue na bado nampea ka kilema

Thobotho thobotho kitu thobothobo
Chali odinare bado anakula toto
Orosho niko jing na majong
Niko matings bila bong
Nimekuja ka nimedrop
Toba la glover na masos

When you see me gully creep
Would you back up slowly, mmh mmh
When me stand up pon de chair
Sidung pon it

Ni kitu clean kitu clean
Skid on pon it
Mi bado physically fit
Bruk off pon it

Bazenga daddy niko zabe na ma G
Tukiroria dogo dogo kiuzangela for real
Niko lit niko high ka ki-fly over nani
Najitoa chini ya maji ndo waguess ka niko in

TK bila kladi hazidrip niko ndethe
Msupa vile anawhine pon me si ni heaven
Man a boss siwezi drop standard
Kila msee anaodi hapa hakuna izo gang nam

We uwezi omoka ju unapendaga kusleki
Chini ya maji tunaishi kama kreki
In the heart of the ghetto kuziseti
Na kuja ujionee haiwezi andikwa kwa gazeti ah

When you see me gully creep
Would you back up slowly, mmh mmh
When me stand up pon de chair
Sidung pon it

Ni kitu clean kitu clean
Skid on pon it
Mi bado physically fit
Bruk off pon it


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists