Inaniaffect Lyrics

Timmy T Dat,Maboy ,Maandy-Inaniaffect

Mi siwezi ishi na wewe na hizo makizungu zote,
Too much English too much too much
Inaniaffect,
inanisuffocate,

Inaniaffect,
Inanisuffocate
Inaninyonga ,Aii vumilia tu
Inanisuffocate,

Inaniaffect,
Inanisuffocate,
Inaninyonga ,
Inanisuffocate

Wanashuku hizi beats lakini Mavo,
Spendi chakacha lakini Yvonne,
Kama huna job so come unblow,

Tdat Kasabunian boy,
Nalean back mi si talk too much,
Mi si smooth kama wale maboy wa don’t rush,
Mi sijui kubembeleza ka sabuni nateleza
Kuteleza si kuanguka nikianguka kwa hii beat,
Inaninyonga na nikislide in inanisuffocate

Inaniaffect ,
Inanisuffocate,
Inaninyonga ,Aii vumilia tu
Inanisuffocate

Inaniaffect,
Inanisuffocate
Inaninyonga,
Inanisuffocate

Inaninyonga eeh ,hadi mi nimeanza kukonda wee,
Mi nafeel tu mapain ,toka kwa my chest
Venye tu madem wako on my case,
Aki Harry unanibamba mi  nataka uniarrest
Uniteke juu ya desk cheza chini,
Mi staki kuwe tu na ordeals,
Nisuffocate nimarinate tu ooh yes

Nadai chuma ,flani itanisuffocate
Namshow ata ahame ,mi nitamlocate
Kabaya mclassy saa zingine mi ni riet
Bado naishi kwa mzazi so tupatane kwa gate

Haga like this body fiti like this,
Nguna si ni hustler toto physically fit
Nikatie na Mpesa ,ka huezi niacha please
Mi hubonga revenue ka ni free exit,

Inaniaffect ,
Inanisuffocate,
Inaninyonga,
Inanisuffocate

Inaniaffect,
Inanisuffocate
Inaninyonga ,
Inanisuffocate

Baba blacksheep,
Kizungu ati ni lugha ya masoshi,
Blah blah bullshit ,
Kizungu na huna hata noti,

Kimombo huku ghetto ni hasara,
kiburi mingi na umekunywa Keg ya hashara
Bladclat tunabonga tu biashara,
Lugha tu mnajua ni besha shigana,

Inaniaffect inasuffocate,
Kate alinishow Id ,have a date
Kufika kwao tulifunga hadi gate
Aliget D but ngoso ye haget,

Nilikuja early nikakam late,
Kwa bed tulichoma ngwai na habet,
Dem ni mplayer Koinange,
Ainame raundi nane,

Inaniaffect Inaniaffect


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists