Lingala na Sheng Lyrics

Niko idhaa ya lingala na sheng
Niko idhaa ya kuteka madem
Nko idhaa ya kupiga Sherehe

Niseti kafom ya kukata na wembe
Tukule chafua matumbo na sembe
Tukunywe makali tumeze matembe

Unanipata Janta na kumewaka matata
Kama ni blunder, tunachochana tunaitana
Tunajikata kata kata kata, kata
Kata usiogope, kata

We mblina usijichoche
Unapiga maluku fulani boring
Ka ni fom ya kejani si unitolee
Lingala na genge si tuko wote

Tunatesa majuu na kote kote
Alaah! Na kote kote

Niko idhaa niko idhaa
Nko idhaa ya lingala na sheng
Niko idhaa niko idhaa
Niko idhaa ya kuteka madem

Niko idhaa niko idhaa
Nko idhaa ya lingala na sheng

Unipakate Sakate
Kubanjuka kila mtu na wake
Unipakate Sakate
Kubanjuka kila mtu na wake Eeh

Nimekafunga kama kufuli
Leta pombe si makufuli
Dem kichwa ngumu kama manduli
Through pass jo lazima nduki

Tera mos tera mos Koka achako
Mamanzi warembo emathago
Sina huruma naishi pangoo
Na nawasumbua kama Agwamboo, Hurray

Brikicho kicho, hurray
Peana kitu, hurray
Kemoda moda, hurray
Tumeshinda shida

Niko idhaa niko idhaa
Nko idhaa ya lingala na sheng
Niko idhaa niko idhaa
Niko idhaa ya kuteka madem

Niko idhaa niko idhaa
Niko idhaa ya lingala na sheng

Unipakate Sakate
Kubanjuka kila mtu na wake
Unipakate Sakate
Kubanjuka kila mtu na wake eeh

Lelelilo lelelile eee
Iye iye mamaa heeey

Tumekuja na lingala na sheng
Tumekuja tu kupiga sherehe
Tumekuja na mbogi aisee
Tunakatika mpaka chee

Tumekuja na lingala na sheng
Tumekuja tu kupiga sherehe
Tumekuja na mbogi aisee
Tunakatika mpaka chee

Niko idhaa niko idhaa
Nko idhaa ya lingala na sheng
Niko idhaa niko idhaa
Niko idhaa ya kuteka madem

Niko idhaa niko idhaa
Niko idhaa ya lingala na sheng

Unipakate Sakate
Kubanjuka kila mtu na wake
Unipakate Sakate
Kubanjuka kila mtu na wake eeh

 

(Kenyan Music, Gengetone)


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists