Msanii Njaa Lyrics
Msanii njaa tuliza ball
Upcoming ya shine
Wanatoboa kwa story na drama
Game ya Bongo sio kipaji tena
Msanii njaa tuliza ball
Upcoming ya shine
Wanatoboa kwa story na drama
Game ya Bongo sio kipaji tena
Nikumbuke japo kwa kunipa hai
Kunisabahi
Usisnitch stay real
Usiwe shabiki mandazi
Mi ndo yule Mjeda niliyewakumbusha
Mwanamke mjinga ataivunja ndoa yake mwenyewe
Na nikawasihi uwe na moyo wa subira
Sipati simu za madem na wadau
Kwenye game sio time yangu
Wala nikigoma usinidharau
Mi ndio seski ya mjini naongea
Labda sina kipaji ngekewa
Au nafasi yangu nilichezea
Msanii njaa tuliza ball
Upcoming ya shine
Wanatoboa kwa story na drama
Game ya Bongo sio kipaji tena
Msanii njaa tuliza ball
Upcoming ya shine
Wanatoboa kwa story na drama
Game ya Bongo sio kipaji tena
Sipati sifa za mazuri yangu
Yanaonyeshwa live kwenye TV mapungufu yangu
Bora ningekuwa shabiki
Mziki ukawa sehemu ya furaha yangu
Kipaji kimekuwa sehemu ya machozi
Maumivu na vita kwenye maisha yangu
Mungu mbariki mwanao Jackie
Asipite kwenye mapito yangu
Bora ningekuwa shabiki
Mziki ukawa sehemu ya furaha yangu
Msanii njaa tuliza ball
Upcoming ya shine
Wanatoboa kwa story na drama
Game ya Bongo sio kipaji tena
Msanii njaa tuliza ball
Upcoming ya shine
Wanatoboa kwa story na drama
Game ya Bongo sio kipaji tena
Hawaheshimiki waanzilishi wa mziki
Mziki unaendeshwa na kiki
Mashairi na pesa
Mziki hauelimishi eeee…
Msanii njaa tuliza ball
Upcoming ya shine
Wanatoboa kwa story na drama
Game ya Bongo sio kipaji tena
Msanii njaa tuliza ball
Upcoming ya shine
Wanatoboa kwa story na drama
Game ya Bongo sio kipaji tena
No comments yet