Lewa Lyrics

Mejja-Lewa

Mueke fine si unajua nakuwanga fisi
Akijipa sikatai mi nadishi,
Naichapa hadi atoe kamisi,
Woii aii nduru ya kasisi,

ganji alidai tuma ganji
Nikarembo ndio kanasaka ganji
ganji alidai tuma ganji
Keki gani siezi kata ju ya ganji

ganji alidai tuma ganji
Nikiwakanja si nakata mali safi
ganji aki uiii ganji
Uko wapi tukashushane mapongi

Kuna vile kuna joto ,na bado ni kuslippery
Vile tumevunja, na bado kuna misery
Siezi shinda, lotto sidai hizo lottery
Tingiza mahips, kinyoka ki slithery

Niko kidale ,si upitishe ka payslip
Ka ni ganji, utalipa na na kacheque please
Na ni keki ,nilishakapiga cuffing
Kameshika rangi nikakabandika coffee

ganji alidai, tuma ganji
Nikarembo ndio, kanasaka ganji
ganji alidai tuma ganji
Keki gani siezi kata ju ya ganji

ganji alidai tuma ganji
Nikiwakanja si nakata mali safi
ganji aki uiii ganji
Uko wapi tukashushane mapongi

Nabambuka nikistagger,
Nikupiga ngeso mbegu imejaa maga,
Niko waba ni kusaka tu mareka,
Ka ni vundo natingua bila njeka,

Niko ndole sina hata nyiff
Vile niko kidale shang ndo nagrease
Nikuwapigisha riu maithaa ya giz
Nistagge na mamali zikizidi biz

Kuna kadem kwanza kanaitwa Nancy
Kamebeba utadhani ni umati
Maringo nayo kamesunda kwa magoti
Ati mita saba bei ya mahari

Mahari slippy better ninunue bahari
Nikakunywage chang’aa na mabangi
Puff twende chain nikiongeza machave
Zikiraru shada shada fangi gani

Ganji, ganji alidai tuma ganji
Nikarembo ndio kanasaka ganji
Ganji, ganji alidai tuma ganji
Keki gani siezi kata ju ya ganji

Ganji, ganji alidai tuma ganji
Nikiwakanja si nakata mali safi
Ganji, ganji aki uiii ganji
Uko wapi tukashushane mapongi

Ati siku hizi tuko boxer wakijifunga nappy
Niite king solomon madem wangapi
Wakuje tu wawili ama wakuje wathirty
Slayqueen, ghetto pongi ama wanati

Ganji ni kadem ka maganji
Kanapenda pia maji na cannabis
Mababi, kina Iano, Owen na Nduati
Fisi wafuasi wa nginyo na gwati

Mmmh aah, uuuiii aah
Shot moja mere lugha ni ya money


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists