Leo Leo Lyrics

(It’s S2kizzy beiby)

Alianza uqueen kwenye video
Akasahau maisha ni kama kioo
Jinsi nilivyompenda mi nikalenga
Ye akaenda, enda mwana wa kwenda

Sio sonza kilema ya sonzeye
Au ya haki eeh my dear

Amekuwa kama nyuki wa mashini
Anatenda maajabu ka zamani, my dear
Amekuwa kama nyuki wa mashini au sokoni
Hana tena maajabu ka zamani, my dear

Mmalizane leo leo asikuambie kesho wee
Mmalizane leo leo asikuambie kesho wee
Mmalizane leo leo asikuambie kesho wee
Mmalizane leo leo asikuambie kesho wee

Kana tattoo ya kipepeo nyuma ya mgongo
Mdomo kama kichongeo na mwendo wa jongoo
Katamu ukikapiga deo nguna na dondo
Ka kumalizana leo leo kesho ni uongo

Huwaga kakimya ila kanavunja kabati
Kakilewa ati kananiomba tudance
Akiwa home anapenda kuchat
Ila katulima na kanapenda kuparty

Kiuno kama nyigu mwendo wa taratibu
Kumtazama hauchoki
Vimacho flani ka zabibu
Kwanza kana aibu, ila ukinasa haung’oki

Ni ka fo ila kazuri kweli
Sombe kama moyo ka ushindi
Ukikubali ndo umefeli
Kungoja asubuhi ndo utishe labda

Mmalizane leo leo asikuambie kesho wee
Mmalizane leo leo asikuambie kesho wee
Mmalizane leo leo asikuambie kesho wee
Mmalizane leo leo asikuambie kesho wee

(Its S2kizzy beiby)


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists