Ipekeche Lyrics
Ipekeche by Lava Lava Lyrics
Ayolizer
Eh! Baby ama kweli umefundwa unyago unyago
Mungu amekupea you too fine oo, yeah
Na vichuchu tokwa peli, huko nyuma minado Nado
Nyonga inabembea yeaah
Your love baby gon take me higher Higher
Nakuwa katoto yayo Yayaya
I swear you are my desire Desire o
Sa nipe za migando, yaani gendere
Viuno mgando, ndani segere
Nikuvute kando, nikuchumishe tembele
Nionyeshe mambo, watikisaje wezere
Sa ipekeche, ipekeche
Ipekeche, ipekeche
Ipekeche, ipekeche
Baby show me I wanna see you dancing
Ipekeche Ipeke ipekeche Ipeke
Ipekeche Ipeke ipekeche Ipeke
Ipekeche Ipeke ipekeche Ipeke
Yeah yeah yeah
Baby show, baby show
Show them vile ulivyo machachari
Baby show, baby show
Show them unasongaje ugali
Baby show, baby show
Show them mambo ya kizanzibari
Baby show, baby show
Show them kama we ni pisi kali
Mwembamba ah munene tuoneshe madingo (Swadakta)
Changanya masebene chakacha bolingo (Swadakta)
Kwa chini itekenye, wowowo ngongino (Swadakta)
Wowowo Swadakta ngongingo Swadakta
Nipe za migando, yaani gendere
Viuno mgando, ndani segere
Nikuvute kando, nikuchumishe tembele
Nionyeshe mambo, watikisaje wezere
Sa ipekeche, ipekeche
Ipekeche, ipekeche
Ipekeche, ipekeche
Baby show me I wanna see you dancing
Ipekeche Ipeke, ipekeche Ipeke
Ipekeche Ipeke ipekeche Ipeke
Ipekeche Ipeke ,ipekeche Ipeke
Yeah yeah yeah
Baby show, baby show
Show them mambo ya kizanzibari
Baby show, baby show
Show them kama we ni pisi kali
No comments yet