Kusah – I wish Lyrics

Baby nitakupa moyo nitakupa roho
Yaani mwili mzima
Ningekupa gari ningekupa doh
Ila mi ndo sina
Ukinizidi sana nitakupa roho
Unibebe mzima
Ukitaka haba tutajaza ndoo
Mi uvivu sina
Natamani uwai shela baby uvae
Upendeze na ulivyo chombo wakushangae
Natamani tupewe mbawa baby tupae
Tufike mbali baby wee, baby wee

Haya go, baby ringa
Ikija mvua baby mi nitakukinga
Bailando basi pinda
Ukirudi kwa nyuma nakukinga
Haya go, baby ringa
Ikija mvua baby mi nitakukinga
Bailando basi pinda
Ukirudi kwa nyuma nakukinga

I wish, Leo tulewe mpaka tubebwe
I wish, nimwone Wolper akiruka debe
I wish, nimwite Naseeb aimbe Jeje
I wish, our wedding, our wedding

Ona unafuraha we una raha
We chuki wataziraha, watafuba watakosa raha
Basi gimme more, unapokwenda baby na mimi nimo
Utaratibu huko nyuma kuna shimo
Mmh aah utanidondosha wee
Mpaka mapepe
Shilole waambie waache kitete
Joto jipepee
Mtungi ukiisha tule mpepe

Haya go, baby ringa
Ikija mvua baby mi nitakukinga
Bailando basi pinda
Ukirudi kwa nyuma nakukinga
Haya go, baby ringa
Ikija mvua baby mi nitakukinga
Bailando basi pinda
Ukirudi kwa nyuma nakukinga

I wish, Leo tulewe mpaka tubebwe
I wish, nimwone Wolper akiruka debe
I wish, nimwite Naseeb aimbe Jeje
I wish, our wedding, our wedding


Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists