Kusah – Huba Lyrics

Jamani huba limekolea moto, la nichoma vibaya
Lataka muda niliwazue vyema nisifike pabaya
Naganda ruba kanikwatua moyo kanishike pabaya
Na nina muda sijawahi ona penzi kama lake
Ananifanya ka mtoto yani binua binua mpaka kwenye ndoto
Anang’aiaga na mito walabay mimi wake sinyorito
Limekolea moto limekolea moto limekola moto iyooo
Mapenzi sikitoto mapenzi sikitoto mapenzi sikitotoo
Usije basi ukaniacha solo (mapenzi nayajua aah)
Mwenzio mimi waraniona kolo (wanisema nitaumia)
Usije basi ukaniacha solo (presha itasumbua mama uuyee aah)
Mwenzio mimi waraniona kolo

Labda kuna ndumba aah sio bure au unanikoroga
Moyo unanidunda dunda aah sio bure au unanikoroga
Nawaza labda sijiwezi labda au labda ni mapenzi labda
Nawaza labda nikizizi labda, au labda umenigangia dawa
Ananifanya ka mtoto yani binua binua mpaka kwenye ndoto
Anang’aiaga na mito walabay mimi wake sinyorito
Limekolea moto limekolea moto limekola moto iyooo
Mapenzi sikitoto mapenzi sikitoto mapenzi sikitotoo
Usije basi ukaniacha solo (mapenzi nayajua aah)
Mwenzio mimi waraniona kolo (wanisema nitaumia)
Usije basi ukaniacha solo (presha itasumbua mama uuyee aah)
Mwenzio mimi waraniona kolo

Siri ya penzi ni kushikara mimi na we baby kupendana
Tukikosea kusameheana kwenye makosa kuambilizana baby eeh
Tusilivunje penzi upepo ukazoa likaenda na sunami
Usije basi ukaniacha solo
Mwenzio mimi waraniona kolo
Usije basi ukaniacha solo
Mwenzio mimi waraniona kolo

Related Lyrics

Added by

Zikitu

SHARE

VIDEO

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Artists