Angels Lyrics
King Kaka -Dodoma 2 ft Harry Kimani
Rico Beats Okay
Jimwat alinyima Collabo
Mejja pia anajua
Toxic alinipa connect
Clemmo pia anajua
Shua alinionesha struggle
Nitoe mistari pure
Madoba zangu daily ndio maana
Jah nikiwa , Nameless alinyima nangos
Ni time sai natambua
Ksouth kutoka Kitambo
Kshark na mistari kishua
Ngoma yangu haikua na beat
Ndio maana pinye alinitambua
Na Kurudi mtaani late ilimean
Magondi watanisasksua
Wakambao wakininyima interview
Wakidai mi si hip-hop halisi
Sai makao yangu Niko kwa gazeti
House number Ni kwa tv
Karibu Ni give up au niweke Ngoma
Kwa ibilisi
Duplex walinyima session
Wonder walijitoa wakanishow nikam kesho
Wakapita bambu na yubi nikiwa hapo
Hapo kwa reception
Kalahari walinyima verse plus
Natalie alikua crush
Ni lini ataniearth
Though I try and I try to do what’s right
I can’t keep up
Don’t be mad when I can’t pick up
The phone when you call
And Don’t take it the wrong way.
You know angel baby
I know exactly what you are going through
Am just like you.
Back n forth mi na bien Sauti Sol walinyima chorus
P unit kwa airport walidai sunguch
Call us
Octo pia wako wapi antoneosoul pia na khali
Hauskii tulishika makali kenrazy akatoa tichi
Chiwawa na life teachings
Niko na holydave ata yeye akanipromise ngoma
Leo hata siteti
Nilitamani chorus Moja
K force walikua underdogs
Mi Naskia tu ndocha
Natamani tu nipewe verse
Na dot Voltures
His name is Big pin
Naskia Collabo na Issa
Mziki ilikua west
Walinyima na number attitude
Pia niliskia walikua nayo fulani
Akaniamini Dj loop kaka empire saa
Hii
Though I try to do what’s right
Don’t matter when I can’t pick up the phone
I know exactly what you going through am just like you
No comments yet